Yule ndio Nina mkubali sasa....Kile chuma kilikufa kifo kibaya na kama vile familia ilikuwa inajua coz wife wake alimsisitiza sana asiende.
Link au website gani ntatumia kudownload series za kikorea? Kuna moja inaitwa HEARTLESS CITY imenikosha Sana. Msaada tutani....
episode ya tatu inatoka tarehe 26. nahs ndo iyo kesho.. hizo episode mbili ulizoziona ilitakiwa zitoke tarehe 19. kama ulizipata kabla ya iyo tarehe basi itakuwa ni yale yale yaliotokea kwene GOT mwaka jana..Last ship wameanza ile kukata kata wameniboa balaaa. Yaani wiki nzima sijaona hata episode moja pambavu zao![]()
Hii hapa ila kila episide imekatwa katika vipande vinne yani a,b,c,d ni episode moja. Good quality with english subtitleLink au website gani ntatumia kudownload series za kikorea? Kuna moja inaitwa HEARTLESS CITY imenikosha Sana. Msaada tutani....
So kesho ntakua na GOT na TLS sio? What a day?! Safi sanaepisode ya tatu inatoka tarehe 26. nahs ndo iyo kesho.. hizo episode mbili ulizoziona ilitakiwa zitoke tarehe 19. kama ulizipata kabla ya iyo tarehe basi itakuwa ni yale yale yaliotokea kwene GOT mwaka jana..
So kesho ntakua na GOT na TLS sio? What a day?! Safi sana
Mpya? Kali?Mkuu umeiona Queen of the south
sijapenda story yake.. tafuta "the night of " imetoka jana.. jamaa kaamka kakuta demu alielala nae kachomwa chomwa visu kama mia mwilini.. japokuwa kuna sehemu inalag...iko promisingMkuu umeiona Queen of the south
Hapana ni Korean au? Nipe kwa ufupi genre yake na story yake inahusu nnMkuu umeiona Queen of the south
thaks sana ila mkuu mbona tyrant haipo😱😕