Series (Special thread)

Series (Special thread)

Arrows on the bowstring...jaman zounhwaa...yinhaaa..chinchaa..officer ankai..bijang na kaisar..that series is fire..sema nahis haijaangaliwa sana
 
Breaking Bad
How I met your mother (hahaha)
The originals
The inside men
Banshee
 
Nikifikiria jinsi bond ya Jack Bauer na Chloe O'Brian ilivyokua naishia kumpa producer ,script writer wa 24 heshima ,kiufupi ndio favorite characters wangu ndani ya 24 ikiwa pamoja na yule jamaa top wa security white house Alan ,mpole mwenye hekima na busara ,baadae alikuja kumwoa Martha aliyekua mke wa Charles Logan
Hahaha Charles mke wake alikuja kuolewa na mlinzi wake... Huyu ni Rais bogas kuliko wote kwenye 24hrs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom