Hahaa... ni kweli Quantico wanaboa sana! Wengine sie bado tunaifuatilia kwa ajili ya ubishi tu! Nitawavumilia hadi Season II labda watabadilika!mara mia niangalie lost
Hahaa... ni kweli Quantico wanaboa sana! Wengine sie bado tunaifuatilia kwa ajili ya ubishi tu! Nitawavumilia hadi Season II labda watabadilika!mara mia niangalie lost
Ila kifo cha snow imekuwa too much
Eeeeh ngoja nidownload fasta...ila daa kuna visasi sana...aiseeNaona Game of thrones inazidi utamu, Jon Snow has been resurrected by the red woman
Maana Ser Davos alipokuwa anamuomba The red woman amfufue Lord Commander akamjibu the former Lord Commander hapa kidogo nimepata ukakasi na kujua Jon Snow hata akifufuka hawezi kuwa yule yule lazima hatakuwa white walker ambaye anaweza kuleta muungano wa westeros na mawhite walker kama alivyofanya kwa Night watcher of Castle black na wilding (king beyond the wall) ambao walikuwa maadui for thousands yearsView attachment 343776
Cjui hawatamchoma moto mwili wake... naona naona anabadilika nakuwa White Walker
Wapenzi wa Person Of Interest season 5 isharudi hewani.
Nimeshaishusha janaWapenzi wa Person Of Interest season 5 isharudi hewani.
Mkuu Acha utaniNimeshaishusha jana
kweli mkuuMkuu Acha utani
Hata mimi nishaicheki tayarikweli mkuu
Mkuu naona kuna epsode 1 tu mbonakweli mkuu
Kila wiki episode moja ndugu au ujui.Mkuu naona kuna epsode 1 tu mbona
Asante sana. Nimeshaipakua hapa nasubiria muda tu niiangalieKila wiki episode moja ndugu au ujui.
safar bado ndefu aseee mpka episode 23 nomaKila wiki episode moja ndugu au ujui.
Ntumie linkGame of Thrones Season 6 ndani ya nyumba!
Kweli kabisaMkuu Acha utani
Search torrents Kat.cr utaipataWakuu mwenye link ya into the Badlands season 1 complete anisaidie
Haipo mkuu . ShukranSearch torrents Kat.cr utaipata