Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii (freshseries.net) ndo website nnayo iamini ipo fresh kudownload series na lugha ipo straight forward..

Na pia kuna hii (putlocker.is) ni simple na user friendly kwa online streaming including series(tv shows) na movies (current one nazo zimo)
 
Habari wanajamvi hili.

Ni muda mrefu sana sijatia maguu kwenye uzi huu na leo nimekuja na habari nzuri kwa wale wapenzi GAME OF THRONES (GoT) Leo ndio itaanza kurusha season 6 episode ya kwanza inayoitwa "the red woman" kwenye kituo cha HBO

Nasubiri kwa hamu sana kujua kilichomsibu Jon Snow baada ya kuuwawa
Game of thrones ni habari nyingine kabisa no one is safe!
 
Zile flashbacks za kwenye Quantico kama ww ni mpenda stories wala haiwezi kukuboa. Tatizo la hii series iko soft sana. Haiwezekani New York city inakua under attack lkn watu wa usalama wako soft. Otherwise sio mbaya kuangalia, ina conversations nzuri.
To be honest naona haijafikia kiwango nilichoifikiria mwanzoni
 
Habari wadau,

Wale wapenzi wa series maarufu ebu tupeane maujanja.Nataka kujua series hasa za Hollywood zinazo deal na mambo ya Intelligencia na Middle East

Mfano Tyrant, Homeland,Strike back,ebu nisaidien nyingine zilizopo

au kama kuna movies kali za hivyo kamaYa Adolph Hitler

Majina ya hizo series tafadhari.
Movie ya Body of Lies(2008)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom