Series (Special thread)

Series (Special thread)

Asee hivi season 3 ya The Last Ship inatoka lini?
0900a5fd99fc144b9be9bf1ee3504655.jpg

13 june
 
Je snow amekuwa weak au kaamua kuwatafuta ndugu zake nahisi vifo kwa stark famili vitaendelea
hiki ni kitendawili kwa kweli....

ila nimecheka sana pale mzee mtu mzima Grand Maester Pycelle alipo achia ushuzi walipofumwa na Cerser akiwa na Jaime kwenye King's council alivyokuwa anamwaga umbea
 
  • Thanks
Reactions: Lee
hiki ni kitendawili kwa kweli....

ila nimecheka sana pale mzee mtu mzima Grand Maester Pycelle alipo achia ushuzi walipofumwa na Cerser akiwa na Jaime kwenye King's council alivyokuwa anamwaga umbea

Niliiona hiyo naona ka lanisters hawana nguvu tena
 
Niliiona hiyo naona ka lanisters hawana nguvu tena

Lannister bado nguvu wanayo sana maana wao si ndio wamiliki wa iron bank hata yule anayeongoza hile King's council anaitwa Kevan Lannister sema katika protocol ya King of seven kingdom kuna democracy aliyoiintroduce Mad king na ambayo ndio ilimsababisha aondolewe.

Ndio maana unaona hata Queen amekamatwa na wale watu wa dini na King inaonekana hana nguvu ya kumtoa but inavyoonekana Cersei na Jaime wanajaribu kulipiza kisasi kwa kumshawishi King Tommen atumie mamlaka yake kuwauwa wale watu wa dini
 
The catch.
hiyo mpya ina story fulani hivi very good. iangalie hutujutia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom