jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,646
Sijaiona hiyo mkuu24 hrs ya Jack Bauer kwangu ni bora sana
Sijaiona hiyo mkuu24 hrs ya Jack Bauer kwangu ni bora sana
Utafute upesi unapitwaSijaiona hiyo mkuu
Imdb ni mtandao ambao unatoa habari za movies na series na kutoa rate yake so huwezi kudownloadIyo Quantico naielewa sana EB nitafute iyo unayosema y person of interest and the american....umesema niingie WAP iyo lmdb ni sawa na utorrent
Haya Mkuu ebu niitafuteUtafute upesi unapitwa
Itatoka tarehe 24April...Kwa wanaofatilia game of thrones....je season 6 ishatoka?!
Thank you....story yake imekuja kuwa tamu sana aiseee!Itatoka tarehe 24April...
Kwa fununu John Snow hajafa...Thank you....story yake imekuja kuwa tamu sana aiseee!
inaachiwa HBO Jumapili ijayo usiku ukiacha ya kesho nadhani FIRST EPISODE tutaanza kupakua jumatatu Ya trh 25 nahisi siku hiyo TORENT cha moto itakiona kama si kuwekwa RECORDKwa wanaofatilia game of thrones....je season 6 ishatoka?!
Haitabiriki sana...kagongwa visu vya kutosha aisee! Na yule maza....through the town akiwa uchi...daaah!Kwa fununu John Snow hajafa...
Mi nishaachana nayo at 14 maana haielewekiKwa wanaofwatilia Quantico..Hii series naona kama inaboa siku hizi..Wengine mnaonaje?
Teh teh teh.....kweli kabsa! Hope watu kibao wanaingojeainaachiwa HBO Jumapili ijayo usiku ukiacha ya kesho nadhani FIRST EPISODE tutaanza kupakua jumatatu Ya trh 25 nahisi siku hiyo TORENT cha moto itakiona kama si kuwekwa RECORD
Nilishaiacha hasa baada ya kuona ushoga shoga umo sana. Blindspot iko walau vizurKwa wanaofwatilia Quantico..Hii series naona kama inaboa siku hizi..Wengine mnaonaje?
Mi nishaachana nayo at 14 maana haieleweki
Sure..Inazingua sana..Ngoja nicheki blindspotNilishaiacha hasa baada ya kuona ushoga shoga umo sana. Blindspot iko walau vizur
Waandishi wa script nahs ndo wanazengua. Nimeeangalia episode mbili zilizotoka last n last week bt 1 kwa kufast forwad pale wanapoongeaKwa wanaofwatilia Quantico..Hii series naona kama inaboa siku hizi..Wengine mnaonaje?
.