Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kumbe ina proxies hadi ya Mov, ujue mwanzo hii website ilikuwa inaenda kwa domain ya ru

Wakaja waka switch kwenda su, basi umefanya la maana sana kutuwekea alternative.

Sasa kwenye hiyo link yako nimeweza kuona option ya English.

Hatua ya kwanza ni ku click hiyo icon ya settings.

Itafunguka hivi ambayo hiyo Dcloud ndio default.
View attachment 3697216
Utachagua option ya chini hapo imeandikwa settings
View attachment 3697217
Ngoma imegomea kwenye kihidi au procedure ndo sijazifuata vizuri
 
Cine

Utachagua server ya primescr

1792829682611.png
 
Kule Charlie finally kakutana na pacha wke Max, anamuelezea kuhusu alternate reality, Max anaonekana kuwa interested sitoshangaa wakiondoka pamoja. Ila vile vile Charlie amevutiwa na baba na mama yake aliewakuta huko (ukizingatia familia yake halisi baba na mama hawako pamoja na wanakaribia kudivorce), plus kipindi yuko kwa Eleanor wa "Help World" alikutana na other version ya baba yake aliestuck hapo akamshauri kwamba "whatever happens never look back.."
Kwamba kuna uwezekano pia akabaki kwenye dunia aliyomkuta Max.
 
Naunga mkono hoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom