Series (Special thread)

Series (Special thread)

unaona unaikumbuka..!? ama hakuna kitu inakuja..!?
ila wanazingua unasubiri miaka 3 na kuendelea mpaka unasahau hata series ilikuwa inahusu nini..!
Acha tu Mkuu

Yani napata concept kwa mbali sana yani tukio ambalo kws kiasi nimelikumbuka ni pale jamaa alipo feki kifo chake.

Lakini ile mission ya kuiba black pearl hata siikumbuki.

Na hii sio kwa Lupin peke yake, hata The Terminal List S03 nimeshindwa ku relate matukio mengi kwasababu matukio ya S02 mengi nimeyasahau. Ila kwenye hii sijairudia nimeenda nayo hivyo hivyo hadi nimeimaliza na niwe mkweli, sijaielewa.
 
Nimecheka, lakini ukweli ni kuwa terminal list mwenyewe nimekimbiza mwizi kimya kimya, vitu vingi sana nimejikuta sivikumbuki.!

hawa washenzi hawajui vichwa vyetu vina mambo mengi.!? kuishi tu Tanzania tayari ni kipaji bado watuletee series zilizokaa miaka..!
 
Acha tu Mkuu

Yani napata concept kwa mbali sana yani tukio ambalo kws kiasi nimelikumbuka ni pale jamaa alipo feki kifo chake.

Lakini ile mission ya kuiba black pearl hata siikumbuki.

Na hii sio kwa Lupin peke yake, hata The Terminal List S03 nimeshindwa ku relate matukio mengi kwasababu matukio ya S02 mengi nimeyasahau. Ila kwenye hii sijairudia nimeenda nayo hivyo hivyo hadi nimeimaliza na niwe mkweli, sijaielewa.
Unaposhusha mpya, shusha na episode moja ya mwisho ya msimu uliopita ili ikukumbushe ilipoishia. Mi Huwa nafanya hivyo
 
kwenye Lupin nimefanya hivyo lakini nimeshindwa ku connect dots kabisa.

Seasons za nyuma nilizishusha kutoka torrent, ila siku hizi nimekuwa mtu wa ku stream tu.

Hadi kuna muda nikafikiri hii season 3 sikuwahi kuiangalia ikabidi nirudi kuhakiki kwenye huu uzi kama kuna kumbukizi inayoonesha niliwahi kuimaliza.

Lakini kingine na hizi sites ambazo natumia ku stream zinampangilio mbovu, mfano hii Cinehd kwenye season 4 ambayo wameipa jina la Part 4, ukii play inaonesha Season 3.

Hapa naangalia episode ya 4 ya Season 3 lakini kwenye website inaonesha Part 4 na uki maximize player inakuonesha ni Season 3

Kingine ambacho kinanongeza utata ni idadi ya episode kwenye S03. Kwenye hii site wameweka episode 8

1793367904399.png

Lakini ukiangalia mpangilio official kutoka IMBD ni episode 7
1793368208066.png
 
mnapendeaga nini huu ukatili..!? niliwahi tazama trailer moja, kuna siku mliisifia humu ndani, nilikimbiaa, sahii naitazamaga kwa mbali kama naaga maiti..!🙌🏾
Kwakweli mi napenda anavyo ponyoka kwenye mikono ya detective kwa nasibu zinazo niacha kinywa wazi. Jamaa hakamatiki licha ya kufanya mauaji
 
Hapa nina wiki 8 za kusubiri.
Hapana mkuu subira haivuti heri. Wewe jitunuku moja moja tu. Mimi Nina series ambazo nafatilia episodes kila wiki kama 8 hivi:

1. CIA
2. WAR
3. NCIS NEW YORK
4. TULSA KING
5. SHERIFF COUNTRY
6. MARSHAL
7. SWAT EXILES
8. AMERICAN HOSTAGE

Sasa hapo mkuu Leo unaangalia hii kesho hii😂
 
American hostage nimeishia njiani interest imeisha ngoja nicheki trela ya sheriff county kwanza nione ipoje ndo naisikia leo
 
Hapana mkuu subira haivuti heri. Wewe jitunuku moja moja tu. Mimi Nina series ambazo nafatilia episodes kila wiki kama 8 hivi:

1. CIA
2. WAR
3. NCIS NEW YORK
4. TULSA KING
5. SHERIFF COUNTRY
6. MARSHAL
7. SWAT EXILES
8. AMERICAN HOSTAGE

Sasa hapo mkuu Leo unaangalia hii kesho hii😂
Orodha nzuri hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom