Series (Special thread)

Series (Special thread)

moto mwingine huu🔥
1791436865914.jpg
 
Fallout, From Silo na Dark Matter zimetoka kipindi kizuri sana tena kwa kufatana.. nasikitika baada ya kuisha Dark Matter sidhani km nitapata series ya kusisimua kwenye adventure, sci-fi na drama/thriller km hizi kwa kipindi kirefu..

Hizi series 4 zimetupa experience bora sana kwa mwaka huu.
 
Kipande cha 7 dark matter kimetoka au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom