Series (Special thread)

Hii App ni mbovu mno

Nilishairi waruhusu version za zamani ila wamekaza wanalazimisha watu watumie app ya hovyo
 
Watu wanafanya kazi bana halafu sisi huku na GB moja unashusha muvi nzima hadi unawaonea huruma waigizaji kwanini hukununua hiyo muvi kali

Hii muvi ni best kwa 2026 so far. Labda unitajie nyingine ambayo unadhani inaizidi hii hadi sasa

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…