Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,394
- 34,413
๐๐๐We nitakuletea link ya telegram ๐๐๐Nimerudia kufungua hiyo link mbona inanionyesha vitu za wakubwa? ๐น๐น khaaaaa nachoka jamani..
๐๐๐We nitakuletea link ya telegram ๐๐๐Nimerudia kufungua hiyo link mbona inanionyesha vitu za wakubwa? ๐น๐น khaaaaa nachoka jamani..
๐น๐น wacha nifungulie kwa pc tu, hii misimu mingine jau kinoma
Ndiyo ila unatumia kwa jicho moja๐๐๐น๐นlakini si android au
Utachek na Quality kama inakufaa nikupe link za vipande vingine๐น๐น wacha nifungulie kwa pc tu, hii misimu mingine jau kinoma
Huko si ulinipaga wakati nataka kuangalia ile series gani vile, nkashindwaa๐๐๐We nitakuletea link ya telegram ๐๐๐
Ntatop up niende pop 4 ikizingua hiyo 2 ๐นNdiyo ila unatumia kwa jicho moja๐๐
Quality nzuri mkuu198Mb mnaonaje onaje wenzangu?
Game of thrones ๐๐Huko si ulinipaga wakati nataka kuangalia ile series gani vile, nkashindwaa
Nafungua tsap kwa pc
Sogeza hiyo link huko, nione patasemaje penyewe
Hapo nimejaribu kumwonesha depal tu inavyo someka mimi ni mwendo wa 720p. Series kali kama day of the jackal ni mwendo wa 1080p. Kwa mfano leo wakileta defending jacob, your honor, dexter, NEMESIS, breaking bad zote hizo nitatembea na 1080.198Mb mnaonaje onaje wenzangu?
Embu amka usingizini๐Ntatop up niende pop 4 ikizingua hiyo 2 ๐น
Kuna member mmoja alikuwa anawachafua inbox mlimkosea nini?๐น๐น wacha nifungulie kwa pc tu, hii misimu mingine jau kinoma
Hii breaking bad ilinishinda aseeeHapo nimejaribu kumwonesha depal tu inavyo someka mimi ni mwendo wa 720p. Series kali kama day of the jackal ni mwendo wa 1080p. Kwa mfano leo wakileta defending jacob, your honor, dexter, NEMESIS, breaking bad zote hizo nitatembea na 1080.
Hata mimi naona ina hype kubwa sana sijawahi kuiweka juu ya Prison BreakHii breaking bad ilinishinda aseee
Ukikutana na wenyewe wanakuambia kuanzia season two sijui 3 inakua kali๐๐Hata mimi naona ina hype kubwa sana sijawahi kuiweka juu ya Prison Break
Mimi ujinga wa homland, game of throne, na nyingine wanapigana kwa kutumia kofia zenye viwembe zilinishindaUkikutana na wenyewe wanakuambia kuanzia season two sijui 3 inakua kali๐๐
Hivi kuna series ya kuhusu madawa, utakatishaji pesa ina zidi breaking bad? Tukiachilia mbali OZARK?Hata mimi naona ina hype kubwa sana sijawahi kuiweka juu ya Prison Break
Wazugaji tuUkikutana na wenyewe wanakuambia kuanzia season two sijui 3 inakua kali๐๐
Homeland ni moja ya dissapointed Series of all the timeMimi ujinga wa homland, game of throne, na nyingine wanaoigana kwa kutumia kofia zenye viwembe zilinishinda
Ngoja imalizike nione quality sasa..Game of thrones ๐๐
We ulidownload yote ukashindwa kuangalia๐๐
Pow Dakika 0
Kwenye category ya madawa na utakatishaji pesa naiweka NarcosHivi kuna series ya kuhusu madawa, utakatishaji pesa ina zidi breaking bad? Tukiachilia mbali OZARK?