Mafia Democracy
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 248
- 913
Thank you bro.
720p link yake sina.Nice job kaka ila sasa hapo kwenye resolution ni 1800p? Maana GB za hapo si mchezo 😁😁 nsomba kama una links za 720 unisaidie.
kingine nilikuwa natumia FAWANEWS ku cheki Mpira hadi mechi za kibongo, kwa sasa naona kama haifanyi kazi? Kuna namna ya kupata links za local games
Ahsante sana720p link yake sina.
Nilijua unatumia WiFi.
Fawanews mbona inafanya kazi?
Hakikisha tu kwenye URL pale hakuna S kwenye HTTPS
Yani URL iwe hivi "FawaNews - Your Home of Sport"
Mkuu nafikiri sio hii...
Leta poster hapa leta bango lake tuone ni ipiMkuu nafikiri sio hii...
Nazungumzia ile ya yule dada ni assassin wa Urusi kama unaijua...
Ok ngoja nilitafute hapaLeta poster hapa leta bango lake tuone ni ipi
Asante sanaaa"REEZN"
Hii app ni noma hadi mpira?"REEZN"
Aisee naitaka sana!LUPIN SEASON 4
OCTOBER 23
Ep ya kwanza wameweka online?View attachment 3660979
season 2 tiar
Yeah tayariEp ya kwanza wameweka online?
Ngoja niruke nayo hii series kalii mnoYeah tayari
Comedy na mapenzi ya kimasihara kwa barry maana alitumwa akauwe mtu mapenzi yakamfanya akashindwa kuua akazama kwa yule bibieVincenzo Jr movie ya barry umeipendea nini?😫😖