Series (Special thread)

Wakuu Nipo kwenye mission ya kupakua series tofauti tofauti ambazo sijazioni hasi nijaze simu yangu. Nimetenga storage GB 200 kwa ajili ya series tu. Tafadhali naombeni kila mmoja anipe orodha ya series zake bomba alizowahi kuangalia. Kama sijaitazama nitaipakua.

Naombeni sana, reason ni kua anytime naweza kwenda eneo ambalo ni very remote network ya kupakua muvi ikawa shida
 
Creature comando tayari... Nimemiss the bride na crush wake Victor😄
Btw hizo zingine nitazipakua. Nipe orodha nyingine ambayo si animation series
Mimi sio mtaalam wa series. Ukiondoa hizi maarufu ambazo kila mtu kaangalia, labda nikushauri "Ozark" tu.

Labda na The Penguin, ilikuwa kali🤷🏾‍♂️

Usiisahau Lanterns, imeanza kutoka leo
 
Wewe ni mpenzi wa movies zipi?
 
Huyu mzee kwa geopolitics ndio mwenyewe. Anatokea mara chache lkn anakusanua kitu kikubwa sana.
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1787028513575.mp4
    7.4 MB

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…