Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,282
- 10,923
Hapana, ni Daredevil season 3!Ni dare devil born again?
Hapo ndio utagundua kuna utofauti kati ya kuimba na kuigiza. Movie mbovu sanaNimetoka kuimalizia movie mpya ya Gentleman thief ya John Travolta, yupo na kina Quavo na DJ Khaled, na niliianza toka Jana, trailer ilikuwa inavutia, nimejuta balaa movie ni mbaya haina ukhalisia hata nukta,
nimeenda kwenye ratings nimekuta ni 3.3 nikasema nafuu kumbe tupo wengi..!ππΎ
Episode moja ila yamoto sana π₯Season 3 episode 1
Ipo on
majina makubwa ila wamezingua parefu..!Hapo ndio utagundua kuna utofauti kati ya kuimba na kuigiza. Movie mbovu sana
Bonge la tamboπ
episode ya 5 inatoka tarehe 5,Hii lucky ina episodes ngapi mpaka sasa maana sipendi alosto mimi.
Zipo 4 so far..Hii lucky ina episodes ngapi mpaka sasa maana sipendi alosto mimi.
Ulitaka uwalilie wale wahuni walibamizwa na Zoe/Joe?, yan ile ndo dawa ya wasiojulikana..wangekuwa wanakutana na ule moto hata huku Malawi akili zingewkaa sawa πGuys, Guys,
Lioness season 3 episode ya 1, ni ya moto..!ππΎ
ilipoishia hadi nimetamani kulia, week ijayo itafikaje..!?
Nilijichanhanya nikaangalia episode 3 za mwanzo sasa kila nikichungulia kwenny site naona ipo episode 4 tu kudadadek hapa nimechoka kusubiri π€π€π€episode ya 5 inatoka tarehe 5,
na arosto yake ni kali balaa, hivyo usiiguse kama huna moyo wa uvumilivu..!
Ulitaka uwalilie wale wahuni walibamizwa na Zoe/Joe?, yan ile ndo dawa ya wasiojulikana..wangekuwa wanakutana na ule moto hata huku Malawi akili zingewkaa sawa π
na kama umetazama ya 5 nakuhakikishia ndiyo utachanganyikiwa zaidi..!Nilijichanhanya nikaangalia episode 3 za mwanzo sasa kila nikichungulia kwenny site naona ipo episode 4 tu kudadadek hapa nimechoka kusubiri π€π€π€
ππUlitaka uwalilie wale wahuni walibamizwa na Zoe/Joe?, yan ile ndo dawa ya wasiojulikana..wangekuwa wanakutana na ule moto hata huku Malawi akili zingewkaa sawa π
Ndo nimeshusha ya 4 na 5 hapa sijui nisubiri kwanza ya 6?na kama umetazama ya 5 nakuhakikishia ndiyo utachanganyikiwa zaidi..!
ahsante..!π
Narudia tajiri mwenzangu..!Ndo nimeshusha ya 4 na 5 hapa sijui nisubiri kwanza ya 6?
Dah sasa ya 6 inatoka lini π€π€π€Narudia tajiri mwenzangu..!
kama huna moyo wa uvumilivu, usitazame episode ya 5..!ππΎ
Jβ5 ijayo, na mwisho ni 7 episodes pekee..!Dah sasa ya 6 inatoka lini π€π€π€
Niliona movie ina wasanii wa kuimba huwa siangaliiNimetoka kuimalizia movie mpya ya Gentleman thief ya John Travolta, yupo na kina Quavo na DJ Khaled, na niliianza toka Jana, trailer ilikuwa inavutia, nimejuta balaa movie ni mbaya haina ukhalisia hata nukta,
nimeenda kwenye ratings nimekuta ni 3.3 nikasema nafuu kumbe tupo wengi..!ππΎ