Series (Special thread)

Hiyo The husband nayo niliona ina sweep kwenye panel ya trending nikaikaushia.

Ngoja nikomae na hili pin, hili ndio litanipa mwelekeo kama naweza kuendelea kuangalia na zingine au nitahitimisha kuwa Korean series ni wazugaji.
 
Ilianza vizuri sana ila ep zinazofuata kua uhindi mwingi
 
Ipoje mama?
Baba ni tamu balaa, huyu dem bana, wameiba pesa ndefu sana yeye na bf wake halafu jamaa akamtoroka hotelini, wametangazwa kwenye vyombo vya habari FBI wanamtafuta na wasakara wanamsaka hawaelewi kabisa ila dada ana mbinu vibaya mno walianza umafia akiwa mdogo na mshua wake amabaye kwa sasa yuko gerezani, KWAHIVYO mpaka sasa hakuna alofanikiwa kumnasa! Nimeishia episode ya 2 aisee itoke ya 3… now nipo naendelea na Ride or die naye huyu bibi hachekeshi!🙌🏾
 
Imperfect women nimeimaliza, it was cool
Nilichotoa humu ni kuwa Either you are loved or used to fill the void, don't be the latter.
Sasa ngoja tuishi na wakorea baada ya kumalizana na Fool Me Once.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…