Series (Special thread)

Japo huwa sizikubali za upande wa huko lakini je hii inaweza kuwa real deal?
View attachment 3621939
Hii ni noma huyu jamaa ndio alicheza kwenye series ya Mercy for none hajui kucheka na kima yoyote. Iko hivi jamaa Alikuwa ni double agent wa both North and south Korea ikatafsiriwa alifariki kumbe alikuwa hai na anaishi maisha ya kawaida wengine wanamchukulia poa Sasa alivyokuja kuchukuliwa mtoto wake kipenzi ndipo akaamua kuonesha identity yake kuwa yeye ni mnyama ile mbaya. Oya ni hatari sana episode ya Kwanza imeanza slow ila kuanzia episode ya 2 huko kuendelea ni moto
Mr Q
 
Series nyingi nzuri kwasasa naona ndo zinaweka icho kipengele kwasasa kuangalia movie na watoto inakua risk sana katika upande wa maadili
wana normalize ili tufikie pahala tuone ni kawaida and it’s a way of life, sahii wanaweka ushoga hadi sehemu ambayo haina umuhimu wa kufanya hivyo..!
 
Kabisa mkuu ni Kama ile ya A day of Jackay
Ile ni nzuri sana imetulia inaendana na teknolojia kwasasa ila tu jamaa alipoingiza hayo maswala iliniletea taswira mbaya sana kama wakiendelea hivo na season tu basi nianze kuangalia movie za south africa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…