Series (Special thread)

Series (Special thread)

Latest kabisa imetoka jana 18/06/2026 ina episode 08

Jamaa yuko gerezani kwa makosa ya kumuua mtoto wake wa kumzaa. Lakini ukweli ni kwamba hakuhusika na hayo mauaji ila ushahidi wote unamtia hatiani kwa kuhusika na hayo mauaji.

Screenshot_20260619-222310.png

Akiwa gerezani jamaa anakuwa depressed kwasababu kuanzia mke wake mpaka ndugu zake wamemkatia tamaa kwa kile kilichothibitika mbele ya mahakama kuwa ana hatia.

Ni mwaka wa tano sasa jamaa anasota nyuma ya nondo huku wanandugu wakijaribu kuja kumtembelea gerezani anakataa kuonana nao.

Mpaka pale siku moja alipokuja shemeji yake (dada wa mke wake). Ambapo swala la kuonana lilikuwa gumu kutokana na msimamo wake alioluwa ameuweka tangu awali lakini jamaa analazimishwa na bwana jela kwa lazima kwenda kuonana na huyo shemeji yake.

Jamaa kufika dirishani ambapo mawasiliano yanafanyika kupitia simu huku wakiwa wametenganishwa na kioo.

Shemeji yake anamuonesha picha aliyoichukua mtandaoni ikionesha watu watatu wakiwa wanatabasamu.

Jamaa anaona shemeji yake hayupo serious, lakini mpaka alipoitazama mara mbili ile picha.

Kwenye ile picha background alionekana mtoto ambaye amefanana exactly na mwanae ambaye alidaiwa kumuua.

Ilikuwa ni rahisi sana kumtambua kwasababu mtoto wake alikuwa na alama kwenye shavu (birth mark)

Sasa jamaa amejua mwanae yuko hai, anafikiria atafanyaje kumpata ili ajisafishe na hiyo hatia inayomkabili?

Jamaa anapanga kutoroka gerezani. Anatorokaje na itawezekanaje? Fuatila mwenyewe kupitia Link hii hapa chini

Link
 
Latest kabisa imetoka jana 18/06/2026 ina episode 08

Jamaa yuko gerezani kwa makosa ya kumuua mtoto wake wa kumzaa. Lakini ukweli ni kwamba hakuhusika na hayo mauaji ila ushahidi wote unamtia hatiani kwa kuhusika na hayo mauaji.

View attachment 3611416

Akiwa gerezani jamaa anakuwa depressed kwasababu kuanzia mke wake mpaka ndugu zake wamemkatia tamaa kwa kile kilichothibitika mbele ya mahakama kuwa ana hatia.

Ni mwaka wa tano sasa jamaa anasota nyuma ya nondo huku wanandugu wakijaribu kuja kumtembelea gerezani anakataa kuonana nao.

Mpaka pale siku moja alipokuja shemeji yake (dada wa mke wake). Ambapo swala la kuonana lilikuwa gumu kutokana na msimamo wake alioluwa ameuweka tangu awali lakini jamaa analazimishwa na bwana jela kwa lazima kwenda kuonana na huyo shemeji yake.

Jamaa kufika dirishani ambapo mawasiliano yanafanyika kupitia simu huku wakiwa wametenganishwa na kioo.

Shemeji yake anamuonesha picha aliyoichukua mtandaoni ikionesha watu watatu wakiwa wanatabasamu.

Jamaa anaona shemeji yake hayupo serious, lakini mpaka alipoitazama mara mbili ile picha.

Kwenye ile picha background alionekana mtoto ambaye amefanana exactly na mwanae ambaye alidaiwa kumuua.

Ilikuwa ni rahisi sana kumtambua kwasababu mtoto wake alikuwa na alama kwenye shavu (birth mark)

Sasa jamaa amejua mwanae yuko hai, anafikiria atafanyaje kumpata ili ajisafishe na hiyo hatia inayomkabili?

Jamaa anapanga kutoroka gerezani. Anatorokaje na itawezekanaje? Fuatila mwenyewe kupitia Link hii hapa chini

Link
Jinsi ulivyoilezea umenifanya niwe na shauku ya kuichezi kwa kweli napenda sana series za namna hii ambazo hazitabiliki shukrani sana 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom