Series (Special thread)

Wazee nipeni series yenye hekaheka mfano wa 24 hrs...

Hizi za sasa najaribu nashindwa kumaliza hata episode moja...

Wenu mwaminifu...

Nyakubonga.
Cheki hii The day of the Jackal, alafu Kuna xiii ni ya 2009 jamaa anapelekwa kwenye black site anafutiwa kumbukumbu anapotoka anafanya uchunguzi wa kujua yeye ni Nani na wakina nani wamehusika na hayo yote na kwanini? Nyuma ya hii Kuna Siri kubwa imejificha in short ina heka heka hakuna kupoa mwanzo mwisho ina season mbili complete, nyingine Kuna hii The prisoner hii ni ya mwaka huu mwadada mrembo askari wa kawaida anatumwa kumsindikiza mtuhumiwa aliyefungwa jela ambaye ana siku chache zimebaki za kutuoa ushahidi mahakamani bahati mbaya gari lao linavamiwa na magaidi inapelekea mtuhumiwa( Mfungwa) na yule askari wanashirikiana kupigana na wale magaidi.
Cheki hizo mkuu ni Kali zote ni wewe tu uchague ipi ya kuanzia nayo
 
Thank you bro...

Jackal nimeimaliza iko vizuri...

Prisoner nimeishusha ila sijaiangalia, umenipa appetite ya kuiangalia...

Naingia kuipakua hiyo Xiii...

Asande.
 
Thank you bro...

Jackal nimeimaliza iko vizuri...

Prisoner nimeishusha ila sijaiangalia, umenipa appetite ya kuiangalia...

Naingia kuipakua hiyo Xiii...

Asande.
Pamoja sana nakuongezea na series nyingine inaitwa The town ya waturuki iko hivi Kuna majaa wanne katika tembea yao wanakutana na gari Lina watu wawili wameuliwa wakataka kutoa taarifa police kabla ya kutoa taarifa wakakuta Kuna mabunda ya hela dollar za kimarekani ikabidi wahairishe kutoa taarifa police Siri ibaki kuwa yao wachukue zile hela kwasababu wote Wana shida kibao. Shida inakuwa hivi hawajui zile hela ni za nani? Na wale waliuliwa ni kwanini? Na kumbuka wapo kwenye mji ambao purchase power ni ndogo wanaumiza kichwa watafanyaje ili matumizi yao yasigundulike mind you hela ni za kigeni na hapo town zinatumika hela za kiuturuki
 
Interesting
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…