Kitu piru.. kinaitwa Nemesis iko netflix, ina Ep 8
Crime- action- sex- nudity.
Mpelelezi wa LAPD anajaribu kumkamata mwizi, jambazi kuu lenye akili nyingi sana.. linafanya matukio afu haliachi ushahidi..
Nimeimaliza prisoner oya Depal kwa mara ya Kwanza nimeona series ya kizungu Kali mno bila kuwepo scene za ngono au nudity hii ndio inakuwa ya kwanza kumbe