Story yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au hainaKitu piru.. kinaitwa Nemesis iko netflix, ina Ep 8
Crime- action- sex- nudity.
Mpelelezi wa LAPD anajaribu kumkamata mwizi, jambazi kuu lenye akili nyingi sana.. linafanya matukio afu haliachi ushahidi..
Ep6 nipoStory yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au haina
Picha ya mibaba please🤤Ep6 nipo
Mamaaaa… kuna moto umetembezwa hapo ni balaaaaaa. Imagine baba ako anaenda kushiriki kwenye ujambazi.. afu we ni police
Vipi mkikutana kwenye eneo la tukio, utamuwasha moto? 🔫🔫
Au utakumbuka venye ulitoka kwenye kiuno chake 😀😀
Sema mi officer ya LAPD mibaba mizuri zuri Seran 😋😋
Angalia nemesisPicha ya mibaba please🤤
Nimeziona nikaziruka! Kesho nitaziangalia!🫠Angalia nemesis
Na the rookie 😀😀
Story yake Kali hii nitaicheki ni aina movie zangu. Asante sana mama me napenda sana movie zenye story bila kujali ina action au haina
Kwa ilivyopokelewa wataleta season 2Sasa nilale ndio nimeimaliza
Ila sijapenda ilivyoisha.. jambazi kuu lilimzidi akili polisi mpelelezi, dk za jioniiiiii linapata upenyo wa kukimbia maana police alibaki na opt ya kumsaidia mtoto wake aliyeau amalizie kumkimbiza jambazi
Nisikumalizie uhondo.. humo ndani pia kuna cop snitch anaewasiliana na yule jambazi. Naweaza kuipa 9/10 wallaqh. Ni nzuri..
Wanaweza toa S2. Maana netflix ikiwa haina muendelezo uwa wanaandika limited S1
Nenda libraryWakuu onstream inagoma toka juzi...na kuna kigongo kinaenda kwa jina la NEMESIS sasa nakipataje hapa
Sijawahi tangu nikiwa primaryNenda library
Sasa utaionaje na umeshindwa kustream?Sijawahi tangu nikiwa primary
Nenda kwenye website inaitwa thennkiri.com utaipataWakuu onstream inagoma toka juzi...na kuna kigongo kinaenda kwa jina la NEMESIS sasa nakipataje hapa
Zile za kishua zipo mwanza mjini..huku npo bushSasa utaionaje na umeshindwa kustream?
nenda library za kishua.. sio zile wana movie za kina dj Mafufu sijui
Samahani chifu mm napenda quality sanaNenda kwenye website inaitwa thennkiri.com utaipata
Hellfire, I saw a devilNaombeni single movie au limited series .. ya kuangalia na watu
Series: PRISONER
Hii ni series ya 2026 ya waiengereza ina jumla ya episodes 6 hiko hivi escort ya magari ya police watumwa kumsafirisha mfungwa ambaye ni shahidi pekee aliyebaki wakiongozwa na askari mdada mrembo sasa wakati wanamsafirisha wanashambuliwa na magaidi inapelekea huyo mdada askari anashirikiana na huyo shahidi mfungwa kukabiliana na hayo magaidi.Kama mnavyojua waiengereza huwa wakosei hii ni machine ya maana kabisa kila episode ikiisha unatamani inayofuata
Ukisema hv nachanganyikiwaHii Nemesis yamoto sana