Apex ilitoka sambamba na 180.Sikuhizi nimekuwa busy hadi nashindwa kujaa chini kuangalia series ila at least movie leo naweza kuangalia moja au mbili
Movie gani kali imetoka around March hadi this time, ya Action niangalie
Kuna hii inaitwa Apex, nimeiangalia hata sijaipenda
😀😀 kali ila si sana. Unaweza kuipenda na inaweza kukuboa..Kali? Naona wanaipa promo sana ukiingia movie box unakuta imekaa juu pale
Hii ni apex au citadel?😀😀 kali ila si sana. Unaweza kuipenda na inaweza kukuboa..
mdada Sasha kaenda maporini kutalii apoteze stress za kifo cha mubaba wake .. anakutana na Ben, Ben anampa mpa tips za hapa na pale na njia za kuzama zaidi porini kumbe Ben ni mwindaji muuaji konki, anakua hikers ana kipango chake cha bucha la kuchinja watu..Sasha akamshtukia akaanza kumtoroka, Ben akabaki anacheza mziki.. alipomaliza kudance akaanza kumfukuzia Sasha.. So movie inaendelea Sasha akimkimbia Ben na Ben akijitahidi amnase..
Movie box wanakera.. kila mara kubadili version na sio kuweka access ya kuweza ku update.
Hiyo ni Apex.. citadel unyama mkuu angalia kwa kukimbiaHii ni apex au citadel?
Mi niko na DaredevilMi natafuta cha kuangalia in these 2 hrs
Ngoja nizame Google
Hiyo apex kwa kweli trailer lake halinishawishi kuwatchHiyo ni Apex.. citadel unyama mkuu angalia kwa kukimbia
The godfather himselfMi niko na Daredevil
Naona Google Pixel 7 imepigiwa promo hapa na mwanangu Vicent Gigante
View attachment 3585345
Yeah kwenye series ya Godfather of Harlem alicheza vizuri sanaThe godfather himself
Kuna hotuba ilitolewa na yule black ilikuwa speech NZITO sana season 1Ukipata muda ishi nayo hii series
Secret Service na Man on Fire naona zimeniongezea ‘my trust issues’, tunakoelekea tutakuwa hatuamini hata vivuli vyetu..!
Man on fire nimeimaliza ni series tamu. Nilichopenda ni namna mwamba anavyo jua ku extract info. Fikiria watu wengine wange focus wakati wa tukio ila yeye Ali focus matukio kabla ya tukio la kulipuliwa nyumba na hivyo akamwongoza yule mtoto kukumbuka.Secret Service na Man on Fire naona zimeniongezea ‘my trust issues’, tunakoelekea tutakuwa hatuamini hata vivuli vyetu..!🙌🏾
Nitaitazama leo ipo kwenye my watchlist hii na Citadel 2..!🫠Ongeza na hii Ep ya kwanza tu wa kuendelea nayo wameachia EP 9View attachment 3586291
umeielezea vyema sana ndugu yangu, and yes..! it’s one hell of a series, nawaza tu Je, season two watakuja na the very same ‘taste’ kama hii..!?Man on fire nimeimaliza ni series tamu. Nilichopenda ni namna mwamba anavyo jua ku extract info. Fikiria watu wengine wange focus wakati wa tukio ila yeye Ali focus matukio kabla ya tukio la kulipuliwa nyumba na hivyo akamwongoza yule mtoto kukumbuka.
Pia kule panic room alimhoji jamaa alikuwa anajifanya mgumu kutoa taarifa ila baadae akatapika zote.
Jambo la tatu ni actions. Kwenye hii series nakumbuka Ile scene ya airport.
Pale ingekuwa series nyingine wahusika wangefanga Ile scene kuwa ndio episode ya mwisho kwa utamu wake na series ingeishia pale. Ila Hawa wametupatia episodes zote tamu. Wametupatia zaidi ya tulicho tarajia.
Sasa nitfute hiyo secret service