allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,171
- 802
Vyote vimesimama si mbaya ata ya Gerald ButlerMimi hii ndio Kali halafu inafuatia Olympus has fallen
Vyote vimesimama si mbaya ata ya Gerald ButlerMimi hii ndio Kali halafu inafuatia Olympus has fallen
Hiyo scene ni noma, magaidi wakatega mfumo wa phalanx kule juu ya ghorofa yenyewe automatic inatrack helicopter na kumwaga risasi nyingi sana. Chopper site zikaangushwa.OLYMPUS HAS FALLEN
View attachment 3577592
2. Halafu kuna huyu mnyama anaitwa The Night Stalker MH-60M DAP Black Hawk, kuna ile scene chuma 4 zinawahi eneo la tukio huku zipo kimo cha Mbuzi speed 180 masaa ya mbele.
Oya wale terrorist walivozinyaka mashine kwenye camera wakachanganyikiwa.
Hii chuma inakufumania ukiwa usingizini bado unaota ndoto nyevu, inakuwahisha ahera.
Hivi ndo vitu vyangu sasa, zile fatql seduction mtumie Vincenzo Jr na Seran 😁Firebreak ya mwaka huu - Survival, tension & mystery. dosho12 kula chuma hicho
Vp Season 3 itakuwepo kweli ??The Pitt season 2 imeisha. So far haina qualities kama za season one, Ila generally ipo vizuri
😀😀 Hutaki mambo meusi meusi..Hivi ndo vitu vyangu sasa, zile fatql seduction mtumie Vincenzo Jr na Seran 😁
Yeah mwanzoni mwa 2027 itaachiwaVp Season 3 itakuwepo kweli ??
Merlin.. hata nikiiangalia kila mwaka bado inanibambaJe, movie gani unapenda kuirudia? Hii movie sasa ni karibu mwaka wa kumi sijachoka kuirudia.
View attachment 3577062
Mi huwa napenda movie isiwe na sex scene ambazo hazina maana, sababu nipo ku enjoy stori ya movie nikingekuwa nataka hisia nyingine si ningeenda ku angalia zangu pilau 😁😀😀 Hutaki mambo meusi meusi..
Nimeona mpya “Fake Profile” +18 ntaiangalia kesho sahv nmeanza kusinzia
Merlin ilikuwa nzuri, nahisi ndo series ya kizungu iliyoangalia zaidi hapa TzMerlin.. hata nikiiangalia kila mwaka bado inanibamba
Naomba tuangalie wote Fatal Seduction usiku wa Leo😋Merlin.. hata nikiiangalia kila mwaka bado inanibamba
Haijanibamba, siwezi hata kuirudiaNaomba tuangalie wote Fatal Seduction usiku wa Leo😋
Ilipikwa ikapikika..Merlin ilikuwa nzuri, nahisi ndo series ya kizungu iliyoangalia zaidi hapa Tz
AC 130 ilitengenezwa kwa ajili ya close air support.OLYMPUS HAS FALLEN.
View attachment 3577567
1. Kuna hii scene hii mashine inaitwa The Lockheed C-130 Hercules ilikuwa inashusha Njugu aisee ile scene walitulia Sana.
Ni ndani ya Sekunde chache sana pale White House - Washington DC kwa bwana Trump kukawa kumechakazwa vibaya sana.
Sasa vuta picha chuma kama hizi 10 ziingie anga lenu, aisee itakuwa ni msiba