Series (Special thread)

Bahati mbaya sikuipenda so sikuifatilia tena.

Ktk hizo minasubiri kwa hamu power come June.
Ongeza GOT na last ship na 24 na into the badlands na daredevil.
But I think daredevil iliisha
 
Reactions: Lee
0683164016 naomba kuunganishwa kwenye ilo group jamn
 
Wapenzi wa Gotham episode mpya imetoka ya 12
 
Hahahaaaa! Mbona kuna wadada wanazipenda, Ila ile ya aklees kibonge niliipenda, nimeisahau jina
Ujue umeniweka ktk wakati mgumu eti najaribu kuikumbuka jina inagoma.



Ila yule princess ndio alinifanya niipende ile series maaana daaah
 
Arrow
The tomorrow people
Wrong turn
24
Strike back
The last ship
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…