Bahati mbaya sikuipenda so sikuifatilia tena.Scandle,quantico,empire,power,jane the virgin,how to get away with murder
Hivi the haves n have nots iliisha?
Bahati mbaya sikuipenda so sikuifatilia tena.
Ktk hizo minasubiri kwa hamu power come June.
Ongeza GOT na last ship na 24 na into the badlands na daredevil.
Scandle,quantico,empire,power,jane the virgin,how to get away with murder, last ship.
Hivi the haves n have nots iliisha?
Najua wapenda hizoo. Ongeza na ingine inaitwa shadow hunters. Nayo nzuri pia.
Yaani ni nzuri, ina vituko hiyo acha kabisa, itafute tu mama, bikira anayepata mimba bila kuduu.Jane the Virgin! Mmh ngoja niitafute maana jina limenivutia,
Teh teh.
Yaani ni nzuri, ina vituko hiyo acha kabisa, itafute tu mama, bikira anayepata mimba bila kuduu.
Hiyo haina hizo mambo kabisa, mie na mauchawi mbali mbaliii hivyo isingekuwa kwenye list yangu, alifanyiwa insermination kwa bahati mbaya akashika ujauzito wakati hajawahi kukutana kimwili na mwanaune, alimuahidi bibi yake hatojig hadi aolewe, mwisho wa siku she is single,virgin with a baby.Whaaat!
Ina uchawi uchawi nini?
Napenda sana mambo hizo.
Khaaaaa.Hiyo haina hizo mambo kabisa, mie na mauchawi mbali mbaliii hivyo isingekuwa kwenye list yangu, alifanyiwa insermination kwa bahati mbaya akashika ujauzito wakati hajawahi kukutana kimwili na mwanaune, alimuahidi bibi yake hatojig hadi aolewe, mwisho wa siku she is single,virgin with a baby.
Hiyo haina hizo mambo kabisa, mie na mauchawi mbali mbaliii hivyo isingekuwa kwenye list yangu, alifanyiwa insermination kwa bahati mbaya akashika ujauzito wakati hajawahi kukutana kimwili na mwanaune, alimuahidi bibi yake hatojig hadi aolewe, mwisho wa siku she is single,virgin with a baby.
Yeah inarudi Ila ndio wanasema beuer harudi etiii24 inarudi? Waaaoh!
Yeah inarudi Ila ndio wanasema beuer harudi etiii
Nakuja fasta uniunge menKuunganishwa group la Whatsapp Series/Movies
0715-240140
Mbona umeguna mpendwa?Khaaaaa.
Yeah, ni nzuri hope utaipenda.Yeah, nilienda kuigoogle,
Nadhan ni nzuri, story yake inavutia pia wamesema ni comedy-drama,
Naimani nitacheka,
Ngoja niianze kesho.
kaka hii series ya da vinc demon nimeanza kuicheki ila sijaielewa -emu naomba introduction,nadhani ndio series unayoipenda zaidi.nipo S01E01Inaendelea tarehe 6march mkuu!
ndo bei gan?
Mkuu huwezi elewa series za artists kwa episode moja. Hebu maliza walau episodes mbili kwanza.kaka hii series ya da vinc demon nimeanza kuicheki ila sijaielewa -emu naomba introduction,nadhani ndio series unayoipenda zaidi.nipo S01E01