Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,050
- 4,602
Sijaanza hata episode 1Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.
2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).
Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.
Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.
Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.
Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Hii ndio maana niliishia ep ya piliHii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.
2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).
Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.
Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.
Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.
Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Hivi kuangalia hii lazima niwe nimeona ile Dexter nyingine ?Safari ya Dexter resurrection ni tamu. Episode ya 9 now
Ipo vizuri sana kama unapenda spy ruka nayo kama haupendi ukachero achana nayoSlow horses kwa aliyeicheki, vipi ni nzuri au?
Asante, spy series ndo mambo yangu hayo mkuuIpo vizuri sana kama unapenda spy ruka nayo kama haupendi ukachero achana nayo
Ruka nayoAsante, spy series ndo mambo yangu hayo mkuu
Hapana Mimi sijaangalia zile mbili za nyuma ila nimeielewaHivi kuangalia hii lazima niwe nimeona ile Dexter nyingine ?
Asante mkuu , naomba urecommend animation nzuri za kumalizia weekend pia mkuu !!Hapana Mimi sijaangalia zile mbili za nyuma ila nimeielewa
Kw ufupi kabla ya hii inaonekana mzee Dexter alipigiwa chuma na mwanae akajua amesha kufa sasa mwendelezo unaanzia huyu bwana akiwa hospital fahamu zinamrejea
halafu anagundua mwanae yupo kwenye msala hivyo analazimika kutoroka hospital ili akamnusuru mwanae.
Katika harakati zake anakuwa anawaza mengi ambayo yanawakilishwa na na Babu wa mtoto wa Dexter ambaye huyo mzee anakuwa anajitokeza kwa picha ya uhalisia akimshauri hili na lile Dexter.(Kiuhalisia ni mawazo tu yanakuwa yanapita kichwani hivyo isikuchanganye)
Vincenzo Jr uwanja wako huoAsante mkuu , naomba urecommend animation nzuri za kumalizia weekend pia mkuu !!
Cheki hiziAsante mkuu , naomba urecommend animation nzuri za kumalizia weekend pia mkuu !!
πππππVincenzo Jr uwanja wako huo