Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,353
- 17,687
Ndio naianza hapa, kiukweli season 2 walizingua japo yule mtoto wa kiIran Noor Taheri alikua wa moto na kijishungi chakeThe Night Agent S3. Iko Vizuri Sana kuliko Season 2.
Nilitaka kusita kuiangalia Maana Season 2 ni kama walienda chaka hivi. Ila Hii Season 3 walituliza kichwa.
Sehemu moja tu ndio wameniangusha. Ni hivi
Yaani Peter hajaona zile red flags zote kushoto, kulia, Juu, chini, pembeni, ndani, nje hadi koridoni anazopewa na Mtoto wa Kihispaniona pale mwishoni kwenda kumla Barcelona ilipo mizimu ya mababu zake ili utamu uwe bampa tu bampa daaah.
Kaniangusha Sana Mwamba.
Hii the night agent niliicheki kidogo ila bado sijaiweka kichwaniNdio naianza hapa, kiukweli season 2 walizingua japo yule mtoto wa kiIran Noor Taheri alikua wa moto na kijishungi chake
Icheki kwa utulivu, ina mchaka mchaka sio poaHii the night agent niliicheki kidogo ila bado sijaiweka kichwani
Nilipewa hii baada ya kuangalia the day of the jackalIcheki kwa utulivu, ina mchaka mchaka sio poa
Mi bado sijaiona ila ipo kwenye radarGuys ina maana hamjaiona
A Knight of Seven Kingdoms? (Miaka 100 kabla ya Game of Thrones)
Season 2 nimeishia ep3 naweza kuruka kwenda S3?Ndio naianza hapa, kiukweli season 2 walizingua japo yule mtoto wa kiIran Noor Taheri alikua wa moto na kijishungi chake
Nimeiona, sijaiangalia yote kila nikitaka kukuuliza nasahau😁Guys ina maana hamjaiona
A Knight of Seven Kingdoms? (Miaka 100 kabla ya Game of Thrones)
Jason yupo kama hero kumsaidia huyo dada ila mi sijaipenda!Aliyeiona shelter vipi ni nzuri au niachane nayo
Huwa una streamView attachment 3548456
Hii movie mnaangalizia wapi🙂
NdiooHuwa una stream
Subiri Vin, au yeyote anayejua aje kukwambia streaming siteNdioo
Naangalia netflix na movie box, netflix hawana hiiSubiri Vin, au yeyote anayejua aje kukwambia streaming site
Download tuNaangalia netflix na movie box, netflix hawana hii
Duhh naonaga uvivu😩Download tu