Series (Special thread)

Hivi kumbe walikuwa hawajakamilisha first season!! Mie nilijua wanaandaa season2, vipi kuhusu quantico?
YES!!! Series nyingi US wanakuwa na Winter break na moja ya hizo series ni pamoja na Blindspot na Suit. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Season 1 itakuwa na 22 episodes.
 
The flash
Arrow
Tomorrow's people
Almost human
Continuum
Prison break
Revolution
Once upon a time
Merlin
Vampire diaries
The 100
The last ship
Nikita
Witches of east end
Legend of the seeker
Quantico
 
Nigawie bas mkuu
 
Hii Ndude(External HDD) iko na 40Series zinazobamba. Sio ya Kuikosa. Bei: 220K.

Kupata list yake

Send Whatsapp text kwenye 0715:240140

Ni Mpya kwenye Sealed Box,

Sio Used.

 
atoto,
Halafu kumbe uliulizia na Quantico. Ile imekuwa renewed to full season itakayokuwa na Episodes 22. I think this weekend wanaachia Episode 12 na few hours ago wame-renew for Season II ambayo itaanza mwishoni mwa September 2016. So, stay tuned for episode 12 soon.
 
Nashukuru kwa taarifa mpendwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…