Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,813
- 32,545
Aliyekuwa ana mwanmke mbabe😅Yule ni batista seran 😀
Aliyekuwa ana mwanmke mbabe😅Yule ni batista seran 😀
Breaking Bad ni exception kwenye hii list chief
Ndio yule native americanAliyekuwa ana mwanmke mbabe😅
Breaking bad ni tabu ingine kbs🔥😁Breaking Bad ni exception kwenye hii list chief
Sijui hata kwanini umeijumuisha na hizo nyingine 😁
Kwahiyo yule mwingine ndio the rock au? Nilijua cage na batista kweli nimezeeka🤦🏽♀️Ndio yule native american
Yule mwenye nywele ni jason momoa yule wa kwenye series ya see, chief of war na game of thronesKwahiyo yule mwingine ndio the rock au? Nilijua cage na batista kweli nimezeeka🤦🏽♀️
Hiyo ni orodha nimeikuta sehemu.Breaking Bad ni exception kwenye hii list chief
Sijui hata kwanini umeijumuisha na hizo nyingine 😁
Batista yuleeHawa wazee walikuwa WWE enzi hizo bado kabinti😆
Hivi ni cage na bautista?
😄😁Majibu yalikuwa Portuguese ni kispanishi ukiwa umelewa
Aisee pole sana mkuu🤦🏽♀️VIjana wamesepa na laputopu yangu mixer ruta vijana wa kigamboni hawana maana kabisa nitazimisi sana movie kingine sijui kazi za watu ofisini itakuwaje😭😭😭😭
Aww namjua sana nimemfananisha baada ya kuona wanapigana kimieleka😁Yule mwenye nywele ni jason momoa yule wa kwenye series ya see, chief of war na game of thrones
Mimi pia aisee! Namkubali sana Jesse pinkman😅 ila narcos pia wako vzr movie iko serious mpaka unaogopa!Hiyo ni orodha nimeikuta sehemu.
Breaking bad nimeiondoa kwa Sababu ni kigongo Cha hatari. Huwa ninashindwa kuendelea na series zinazohudu madawa kwa Sababu Huwa naona hazifikii viwamgo vya breaking bad
Pole sana MkuuVIjana wamesepa na laputopu yangu mixer ruta vijana wa kigamboni hawana maana kabisa nitazimisi sana movie kingine sijui kazi za watu ofisini itakuwaje😭😭😭😭
Asante nduguAisee pole sana mkuu🤦🏽♀️
Asante nduguPole sana Mkuu
Pole sana mkuu, wamevunja nyumba au ulikua kwenye harakati ukajisahau wakapita navyo?VIjana wamesepa na laputopu yangu mixer ruta vijana wa kigamboni hawana maana kabisa nitazimisi sana movie kingine sijui kazi za watu ofisini itakuwaje![]()
Nilikuwa kwenye harakati narudi home nakuta wamenivunjia mkuuPole sana mkuu, wamevunja nyumba au ulikua kwenye harakati ukajisahau wakapita navyo?
Nunua nyingine mkuuNilikuwa kwenye harakati narudi home nakuta wamenivunjia mkuu