Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 10,906
- 32,754
Anko nitume uone nini😂Anko nitumie hata pm nione peke yangu
Anko nitume uone nini😂Anko nitumie hata pm nione peke yangu
Chchote kitu walaqhiAnko nitume uone nini😂
Nimemposa mdogo wakeshemeji yako kwa nani
Nitatuma kidolee🤓Chchote kitu walaqhi
Wee mbona hatuambizani lakini, sisi si ni ndugu🌚Nimemposa mdogo wake
Posa ikikubaliwa nitawataarifu muanze michango ya harusi 😁Wee mbona hatuambizani lakini, sisi si ni ndugu🌚
Tushirikishe since day 1 kijana, kwanini ikataliwe na sisi tupo😂Posa ikikubaliwa nitawataarifu muanze michango ya harusi 😁
Nitafurahi walaqhi wabilaqhiNitatuma kidolee🤓
Basi anzane kuunda kamati ya harusi 😁Tushirikishe since day 1 kijana, kwanini ikataliwe na sisi tupo😂
Vincenzo Jr amekusikia😁Basi anzane kuunda kamati ya harusi 😁
Vincenzo Jr inaitwajeSio yakuangalia mbele ya watoto , wala wakwe zako utaoata aibu
SpatakaziVincenzo Jr inaitwaje
SPARTACUS HOUSE OF ASHURInaitwaje hiyo?
ThenkiriTangu waipige chini netnaija nimekua mvuvu wa kutazama moviez,pls naomba recommendation ya site nitakazoweza pakua movies/series zenye ubora wa kati ila mb chache
Hii mpya au Ile ya zamani?Spatakazi
Hii mpyaHii mpya au Ile ya zamani?
Kuuumbe nimeishia ep 3, haijanivutia ila sijaikatia tamaa nitaiangalia siku nikiwa sina cha kufanyaSPARTACUS HOUSE OF ASHUR
Yaani unaweza kula kuku na vifaranga wake😋Ila ile familia ina watoto wazuri, kuanzia mama mpaka mabinti zake 😄
Imekaa poa, its funny too mtu anapigana kavaa towel😂🔥Caught stealing
Play dirty
Wrecking crew
Zimefanya wkend yangu iende vizuri kabisa