Series (Special thread)

Series (Special thread)

Omg! nilikisahau hiki kipengele duuuh kazi anayo ndio maana nasema season 2 itakua ya moto sanaaaaa
Sana, alafu inaonekana tenax lengo lake kuu ni kuwa mfalme, maana baada ya kupewa klle cheo kipya alisema hata julio caesar alishawahi kuwa na hicho cheo
 
Cala alimshangaa kwanini anataka kufatilia kuhusu baba ake, akamjibu "in Rome, blood is everything" na kama unakumbuka hata Domitianus alimwambia amuwekee wine akakataa akamwambia huwezi jua nitakuja kua nani akaondoka,

So yeah, akienda kufatilia kuhusu baba ake huenda akaja kua mtu mzito, namkubali sana harakati zake
 
Depal Carleen Mr Q Seran Vincenzo Jr Dr. Mariposa Guacamole Angel Nylon
‎The Theory of everthing, {Romance, Drama } 2014

‎Ni movie inayoelezea maisha ya mwana fizikia stephen hawking na mke wake jane hawking na changamoto za ugonjwa wa stephen hawking

‎Stephen hawking anakutana na jane na wanaanza mahusiano licha ya mtizamo wao kuhusu uwepo wa mungu jane akiamini mungu yupo ila stephen akiwa sio muumini, bahati mbaya stephen anapata changamoto ya ugonjwa na anambiwa ugonjwa utasabisha akose nguvu ya kusimama na kutembea, sauti na macho pia ana kama miaka miwili ya kuishi, jane anapata taarifa hizi ila anaamua kufunga ndoa na stephen hivyo na kuishi nae maisha yaliyobaki, wanafanikiwa kupata mtoto, na stephen anapata recognition ya kuwa doctor baada ya kuandika paper ya kuhusu black kuwa mwanzo wa muda, baada ya hapo hali inazidi kuwa mbaya sana mpaka anashindwa kuongea ila mke wake akiwa nae kwenye hali hyo mpaka anakuja na wazo kubwa la hawking radiaton na anaenda marekani na kuwa mwana fuzikia mkubwa duniani anafariki ila akiwa na ndoto ya siku moja itakuja kuundwa equation moja itayounganisha general relativity na quantum mechanics

‎Haina mambo ya kisaynasi sana hivyo kama hupendi mambo ya ma equation usijali ime base kwenye drama na romance
 
Hii chuma kitambo sana kalii mno
 
Nimeitazama ilinishtua sana hii movie vipi Carleen ushaicheki?
Screenshot_20260213-230558.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom