Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,232
- 79,753
MPaka mwisho wa mwezi 🥲🥲🥲Nunua nyingine mkuu
MPaka mwisho wa mwezi 🥲🥲🥲Nunua nyingine mkuu
Ngoja niidownload'A thousand blows' km hujacheki mpka sasa basi unakosa mengi.. s01 nimemaliza ndani ya siku.
Namaliza fallout s02 kisha nitarudi kwa ajili ya s02.
View attachment 3541749
Free Moviesmimi nimepata night manager ya kihind nipeni link
So2 nipo eposode ya 03 ni mbaya ata usijichoshe mkuu!Na mimi naweza sema niko pamoja nawe.
Nimecheki s01 ila sioni km nitaweza endelea na s02. Story ni nzuri isipokua uigizaji na matukio ni ya kawaida sana, sio km nilivyotegemea.
Itahitaji mtu anishawishi sana mpka niendelee kuangalia s02.
Siku nikavizie WiFi ya kazin niishushe hiyo The Wire
wamekurudisha nyuma familia, sema pole mwanetuVIjana wamesepa na laputopu yangu mixer ruta vijana wa kigamboni hawana maana kabisa nitazimisi sana movie kingine sijui kazi za watu ofisini itakuwaje![]()
Shukrani nduguwamekurudisha nyuma familia, sema pole mwanetu
Nasubiri mrejesho wako mkuuNgoja niidownload
Nimeanza ep mbili naona ipo fresh ndugu yanguNasubiri mrejesho wako mkuu
Mwanetu wa the night manager
Average seriesNight manager ya kawaida Sana 5/10
Kama kwaida nasubili iishe kusubili episode moja moja siwezi
Hii nzuri sana na nimeshadownload episode zilizotoka
Nakubaliana na wewe mkuu, kile chuma ni kizuri tusubiri season 2 sijui itakuwepo maana wazungu hawatabiriki unaweza sikia wame icancelThose about to die nzuri sana nimeipitisha🤣🤣.
Wame sema season 2 inakuja, tukae mkao wa kula itakua ya moto sanaaa, nahisi Tenax atakuja kua mtu mkubwa sana sijuii ngoja tuone.Nakubaliana na wewe mkuu, kile chuma ni kizuri tusubiri season 2 sijui itakuwepo maana wazungu hawatabiriki unaweza sikia wame icancel