kuna story nilisikia kuna msukuma mmoja alienda Tanga kwenye mgahawa hizi za uswahilini mida ya saa 2 usiki akakuta wana maandazi, chapati,mihogo na mikate ya kumimina, badala ya ugali na wali jamaa akala hivyo hivyo ila saa saba usiku kaamka anasikia njaa unauma vibaya 😁Hawataki kukakamaa vidole na ngozi kama sisi😂
Nimecheka😂kuna story nilisikia kuna msukuma mmoja alienda Tanga kwenye mgahawa hizi za uswahilini mida ya saa 2 usiki akakuta wana maandazi, chapati,mihogo na mikate ya kumimina, badala ya ugali na wali jamaa akala hivyo hivyo ila saa saba usiku kaamka anasikia njaa unauma vibaya 😁
wanadamu wana wivu na roho mbaya sana, Mungu atusaidie tu, ndiyo maana Mungu aliweka siri sana kufahamu nani anakuwazia nini..!🙌🏾Shida inaweza kuwa chuki kama alivyosema Dr. Mariposa ama muda mwingine inakuwa aibu, kuna watu wakiwa na shida ni bora akope kwa mtu asiye mfahamu vizuri kuliko kwa ndugu yake au rafiki yake,
Kabisawanadamu wana wivu na roho mbaya sana, Mungu atusaidie tu, ndiyo maana Mungu aliweka siri sana kufahamu nani anakuwazia nini..!🙌🏾
Hapana sio yangu, Mwanza mh nopeKuna SPA ipo mwz inaitwa Mariposa beauty parlor au ni yako🥹
Umepita mule mule 🤣 Mwanza mbali sana jamani duhHuyu mzazibari, wao mwisho ni dar,moro na tanga kanda ya ziwa hawapapendi 😁
Hakuna kitu kinauma kama usnichiwe na mtu wako wa karibu na wanasema adui yako hatoki mbali,Pole dear,
sijui ni kwanini lazima tupitishwe huko, mimi huyo wangu alinipiga matukio balaa, kwanza mpaka kujua anayonifanyia alishafanya damage kubwa sana kwenye maisha yangu..!
Hii shida imenipata juzi tu nilivyokuwa mombasa kwa mama watotokuna story nilisikia kuna msukuma mmoja alienda Tanga kwenye mgahawa hizi za uswahilini mida ya saa 2 usiki akakuta wana maandazi, chapati,mihogo na mikate ya kumimina, badala ya ugali na wali jamaa akala hivyo hivyo ila saa saba usiku kaamka anasikia njaa unauma vibaya 😁
Hijack episode ya ngapi mpaka sasa
SeriesNi movie au series
Haina mambo ya uchawiuchawi na ma dragon?
nimeicheki kumbe ina season moja bado hapo vizuri, alafu nimeona yule jamaa wa game of thrones yupoSeries
kwani game of thrones na house of dragon hukuzipendaHaina mambo ya uchawiuchawi na ma dragon?
Hii kazi itadoda kama stranger things S05
Killing Eve
nahisi hii itakuwa ya mwishoHii kazi itadoda kama stranger things S05