Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,733
Mimi nashindwa kuvumilia huwa naenda nao Sako kwa bakoWataleta ULE unaa wao wa episode Moja Moja Kila baada ya wiki? πππ
Hijack na jackal ilinitesa sanaMimi nashindwa kuvulia huwa naenda nao Sako kwa bako
Series Kali sana hizooHijack na jackal ilinitesa sana
π "mtoto mtamu kama keki"ππVitu vya peponi hivi mtoto una mlamba kuanzia unyayoni hadi __
Exactly π― mtoto kama huyu ata akisema anataka laki 9 unampatiaπ "mtoto mtamu kama keki"ππ
Angalia BodyguardWakuu Mrejesho wa series ya THE COPENHAGEN TEST,,,ni series ya kawaida sana kama una muda wa kutosha ukiamua kuangalia sawa
NIMEMISS SERIES kaliii mwaka uliopita series kali zilikua chache sana
hutojutia mb zakoNi nzuri sana ehee? Nimedownload tu bado kuangalia
Hivi ile series inayoelezea maisha ya Queen charlotte akiwa bado binti ina season moja tu haita endeleaBridgeton season 4 wanaiachia Jan 29th
View attachment 3524694
Series:Mwenyew nazipenda sana hizi kuna zaidi uziandike hapa chini tuweze kufaidika wote?
Series:emmh leta ambazo zipo complete naona nying hua wanazi cancel
ukiacha hizi viking, gOT,see, legend of seeker,Rome,last kingdom, wheel of time nipe zingine
The mummy na Scorpion kingπ₯π₯π₯ napenda Sana movies za ancient EgyptSeries:
Anza na Chief of War 2025
Spartacus: House of Ashur 2025
The Serpent Queen (2024,naipenda sana)
House of David 2025,
Robin Hood ya 2025,
Viking:Valhala
Spartacus,
Shadow & Bone (wameicancel tho)
Movies;
Outlaw King,
The last kingdom:seven kings must die
Tristan & Isolde (ya 2006, ila story yake nzuri)
Pathfinder (ya 2007, kali sana)
The Northman (Kali sanaa)
Gladiator 1&2,
Beowulf,
Troy,
Helen of Troy,
The Mummy (1-3 my fav of all the time)
The Scorpion King,
Pirates of the Caribbean 1-5
Aww thanks so muchhππ japo nyingi hapo nimeziona ila kuna baadhi nitaziangalia sijaziona kabisa, barikiwa..ππ½Series:
Anza na Chief of War 2025
Spartacus: House of Ashur 2025
The Serpent Queen (2024,naipenda sana)
House of David 2025,
Robin Hood ya 2025,
Viking:Valhala
Spartacus,
Shadow & Bone (wameicancel tho)
Movies;
Outlaw King,
The last kingdom:seven kings must die
Tristan & Isolde (ya 2006, ila story yake nzuri)
Pathfinder (ya 2007, kali sana)
The Northman (Kali sanaa)
Gladiator 1&2,
Beowulf,
Troy,
Helen of Troy,
The Mummy (1-3 my fav of all the time)
The Scorpion King,
Pirates of the Caribbean 1-5
IT DerryHii kwenye Nini
Niliwaambieni lakiniWakuu Mrejesho wa series ya THE COPENHAGEN TEST,,,ni series ya kawaida sana kama una muda wa kutosha ukiamua kuangalia sawa
NIMEMISS SERIES kaliii mwaka uliopita series kali zilikua chache sana
Sijajua kama wataendelezaHivi ile series inayoelezea maisha ya Queen charlotte akiwa bado binti ina season moja tu haita endelea
Waki inasa hii wadau wa dunia ni simulation tuna controliwa na ma allien πKinacho endelea Venezuela kacheki Jack Ryan season 2 ni kama walikuwa mbele ya muda hivi ni vile vile tu wana walivyo mbeba maduro dosho12 Carleen Fake P Mr Q Binti wa zamani