Series (Special thread)

H

Hapana kwakweli ila huyu wa sasa kanibadisha hadi dini lakini wapi bado naendelea kupenda watoto wakali ๐Ÿ˜Ž yaani dah kutoka kuitwa Charles now naitwa Khalid
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sheikh Khalid bhaana, kwahiyo hapa unataka โ€˜halalโ€™ ya wake 4 ili u enjoy neema za Allah..!??
 
Router yangu ya voda inazingua ๐Ÿ˜ญ
ni wewe peke yako ama ni watu wote wa Kigamboni..!? ninavyoelewa kuwa Vodacom ndiyo wana mtandao bora zaidi, sasa kama router yao inazingua then ni maajabu..
jua kwanza chanzo cha tatizo ni nini kisha utafute suluhisho accordingly..!
 
Ni router tu ila kwenye laini ya kawaida ipo fresh ila wanazingua sana aisee nashindwa kuenjoy Leo dah!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ