Huyo akikukaribisha lemonade juice usikubali, kwanza usikae tena hapo kimbia😁Kuna mabibi ni magangster sana anaitwa Darlene apo katoka kumpiga risasi ya kwenye uume mtoto wa mwamba uyo mkuu wa Kansas City Mob kaja kumpa dili akitaka vita wakutane😂😂
Series: OZARK
View attachment 3490870View attachment 3490871View attachment 3490872
Best series nilipenda sana yule mwamba Kila eneo alikuwa anapiga kiatu cha kampuni ya newbalanceKuna mabibi ni magangster sana anaitwa Darlene apo katoka kumpiga risasi ya kwenye uume mtoto wa mwamba uyo mkuu wa Kansas City Mob kaja kumpa dili akitaka vita wakutane😂😂
Series: OZARK
View attachment 3490870View attachment 3490871View attachment 3490872
nitaicheq mwanangu..
October 24. Tunaidaka online mwanangu 😎nitaicheq mwanangu..
please Vinnie ‘a house of dynamite’ ikitoka nishtue, ole wako usahau..!
Series kali sana hioNimemaliza season zote tano za Yellowstone, naweza kusema tawile kwa Director John Linson kwa kunimalizia muda wangu kuitazama series hii yenye addiction kama Cocaine. Sasa wadau nipeni series nyingine niishi nayo
Hiyo scene usiipigie puli ndugu yanguJustin Timberlake alimfaidi sana Milena Markovna kwenye Friends with Benefits😎😎
Yule mmama mtata sana alimmwaga ubongo yule jamaa mmexico kisa kamuita redneck kifupi hataki dharau na hachekeshi😂Huyo akikukaribisha lemonade juice usikubali, kwanza usikae tena hapo kimbia😁
Mzee mpole sana yule na alimpenda sana mke wake japo mke alikuwa anamkosoa sanaBest series nilipenda sana yule mwamba Kila eneo alikuwa anapiga kiatu cha kampuni ya newbalance
Vinnie hadi kwenye maisha ya duniani upo hivi hivi unapenda wadada wazuri..!?Justin Timberlake alimfaidi sana Milena Markovna kwenye Friends with Benefits😎😎
😅 et maisha duniani, kwani tukiingia online tunaenda sayari nyingineVinnie hadi kwenye maisha ya duniani upo hivi hivi unapenda wadada wazuri
ushaharibika tayari, sasa hivi anza kuwafuata kabisa majini kwenye magofu na makuburini wanapoishi, nilitaka niseme mapango ila sidhani dodoma yapo kweli 😁Jana nikatizamishwa ‘the conjuring - last rites’, naweza sema haitishi hata., sijui nimeanza kuharibika maskiini.
dosho, hujui kama JF ni dunia nyingine mzee mwenzangu..!?? huku tunavyochukulia mambo na duniani ni tofauti kabisa..!😅 et maisha duniani, kwani tukiingia online tunaenda sayari nyingine
ushaharibika tayari, sasa hivi anza kuwafuata kabisa majini kwenye magofu na makuburini wanapoishi, nilitaka niseme mapango ila sidhani dodoma yapo kweli 😁
Ndio mwanangu napenda sana watoto wazuri "Wallahi Wabillahi Watallahi" 😎Vinnie hadi kwenye maisha ya duniani upo hivi hivi unapenda wadada wazuri..!?
Jana nikatizamishwa ‘the conjuring - last rites’, naweza sema haitishi hata., sijui nimeanza kuharibika maskiini..!🌚
Dah, it's been a minute. Hizi nyingine niliziangalia 1984 huko utotoni inabidi niziangalie tena.Hey Kiranga I'm re watching the Indiana Jones sequel.
Una iKumbuka hii scene?
View attachment 3492628