Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
πKweli watu tupo tofauti apo katika izo sijaona kabisa ya kunitishamdogo wangu kajibu hivi;
The exorcist
The conjuring 2013
The shining 1980
The texas chainsaw 1974
IT 2017
atazame hizo chache nishaacha kuangalia maana sioni cha ajabu wala cha kutisha tena.
dosho12
shukrani sana, ngoja nimtafutie mrembo wangu nione kama atashtuka..!Itafute evil dead ya 2013 tafuta na na psycho ongezea na hizi tena
Get out
Split
Shaun of the dead
Insidious
Us
Siccin
naomba zilizokutisha kuna mtu labda naweza mshtua..!πKweli watu tupo tofauti apo katika izo sijaona kabisa ya kunitisha
Yule mama ana balaa sana ππHiyo niliiona channel 137 TNT kwenye Dstv.. siku hiyo nilishindwa hata kuangalia eviction ya BBNaija.
Bi mkubwa alikua anawaweka kwenye hypnosis wanashindwa la kufanya π
Kwakweli kabisa hata sikumbuki ni zipi. hata hii series ya From imenishtua kidogo mwanzon lakini pindi nilipoangalia episode3 nikaadopt.naomba zilizokutisha kuna mtu labda naweza mshtua..!
upo viwango vingine vya kutishika na kushtuka mkuu, ama kwa hakika wewe si mwenzetu..!Kwakweli kabisa hata sikumbuki ni zipi. hata hii series ya From imenishtua kidogo mwanzon lakini pindi nilipoangalia episode3 nikaadopt.
Sahivi nmekuwa mraibu naangalia video za mauaji ya kweli iwe ya kupigana risasi, kuchomana visu, kunyonga, kuna wale wanapigwa mawe uarabuni huko hadi kufa, ajali na kila aina ya mauaji yanayojitokeza yaliyopata kurecordiwa twitter uku ndo naona naanza kupata ile ladha ya kutishika.
sio mwenzetu kabisa, mi naangalia za kutisha, mapanga, visu ila ni movie tu video clip za kweli huwa siwezi kabisa kuangalia hata kama kuna ajali sehemu, ugomvi mkubwa watu wameumizana vibaya huwa sisogei hata clip siangalii kabisaupo viwango vingine vya kutishika na kushtuka mkuu, ama kwa hakika wewe si mwenzetu..!
Yaani nmejikuta tu. Ndugu yako aliangalia izi baadhi nazikumbuka kidogo nazo zilitisha watu.,upo viwango vingine vya kutishika na kushtuka mkuu, ama kwa hakika wewe si mwenzetu..!
Hyo Veronica si ndio ile ya spain auYaani nmejikuta tu. Ndugu yako aliangalia izi baadhi nazikumbuka kidogo nazo zilitisha watu.,
Anabelle zote
Veronica
The Ring
Anza kuangalia zile series za Monster, zipo tatuYaani nmejikuta tu. Ndugu yako aliangalia izi baadhi nazikumbuka kidogo nazo zilitisha watu.,
Anabelle zote
Veronica
The Ring
Yeah iyo iyoHyo Veronica si ndio ile ya spain au
Ni monster majitu ya ajabu kama jack the giant slayer!?? Au monster watu wanyama kama seriel killers?πAnza kuangalia zile series za Monster, zipo tatu
1. Monster Jeffrey Dahmer
2. Monster lyle and erick mendez story
3. Monster Ed Gein
Hzi ni series zinazohusu story za serial killers waliowahi kutokea kweli
Ni watu wa kawaida tu ila mambo wanayofanya ,mauaji, kula nyama za waliowaua, kuwatenganisha viungo, tuseme ni vichaa walipotilizaπ, mambo mengine wanayofanya ni ya ajabu kama hyo ya Ed gein jamaa anakwea mnazi huku kajininginiza shingo kama anajinyonga π π , ukaanglia utacheka mwenyewe, Jeffrey Dahmer anafanya sex na ile midoli ya nguo, nenda kazichekiNi monster majitu ya ajabu kama jack the giant slayer!?? Au monster watu wanyama kama seriel killers?π
Umenikumbusha nilicheki kitambo, ngoja nije niirudie ile movie ni nzuri mnoYeah iyo iyo
Umenikumbusha movie moja inaitwa hostel niliangalia 2013 asee wale jamaa wanakula watu au pia Cannibal nayo niliangaliaga zaman kweliNi watu wa kawaida tu ila mambo wanayofanya ,mauaji, kula nyama za waliowaua, kuwatenganisha viungo, tuseme ni vichaa walipotilizaπ, mambo mengine wanayofanya ni ya ajabu kama hyo ya Ed gein jamaa anakwea mnazi huku kajininginiza shingo kama anajinyonga π π , ukaanglia utacheka mwenyewe, Jeffrey Dahmer anafanya sex na ile midoli ya nguo, nenda kazicheki
Kwenye hostel Kuna kipande masta mmoja hivi alikuwa anaongea na simu afu kwa mbele kulikuwa na totoz Lina bonge la chura watoto wa mujini tunaita shepu mwana alikuwa ana tia kibao huku anaongea na simu πππUmenikumbusha movie moja inaitwa hostel niliangalia 2013 asee wale jamaa wanakula watu au pia Cannibal nayo niliangaliaga zaman kweli
Mzee wa sceneπππKwenye hostel Kuna kipande masta mmoja hivi alikuwa anaongea na simu afu kwa mbele kulikuwa na totoz Lina bonge la chura watoto wa mujini tunaita shepu mwana alikuwa ana tia kibao huku anaongea na simu πππ
Huku kwetu inakuja liniHiki chuma kinabalaa nilikitazama cinema π π₯
View attachment 3489622