Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,000
Huyu wa sasa tumepigwa kama kocha wa Yanga SC hapa mi naona yule wa 2006 ndio batman mgumu na anajua sana kazi yakehawajasema tatizo ni nini, mi nilikuwa nishaisahau maana ile ya kwanza ilikuwa ime boa mno, huyu batman wa sasa hvi sio kabisa
π πtumepigwa kama kocha wa Yanga
Hakika, yule ndio alikuwa faa kabisa kuwa batman, mi sielewi kwa nini huwa wanawabadilisha2006 ndio batman mgumu na anajua sana kazi yake
Bora mpigwe. ππHuyu wa sasa tumepigwa kama kocha wa Yanga SC hapa mi naona yule wa 2006 ndio batman mgumu na anajua sana kazi yake
Mjipoze na hii ndugu zangu. Hii ni Kali mnohawajasema tatizo ni nini, mi nilikuwa nishaisahau maana ile ya kwanza ilikuwa ime boa mno, huyu batman wa sasa hvi sio kabisa
Kali sana hii π₯ masta aoni vizuri ila anawapiga vibaya sanaMjipoze na hii ndugu zangu. Hii ni Kali mno
View attachment 3483054
ππBora mpigwe. ππ
Batman ni wawili tu, christian bale na ben afleck, huyu robert arudi aka igize twilight na harry Potter zake.hawajasema tatizo ni nini, mi nilikuwa nishaisahau maana ile ya kwanza ilikuwa ime boa mno, huyu batman wa sasa hvi sio kabisa
Arrival ya mwaka gani
na pa kuzipata pia tafadhali tajiri wangu..!
2014Arrival ya mwaka gani
nahisi websites zote za movie zinapatikan hizina pa kuzipata pia tafadhali tajiri wangu..!
Shutter island mwana alikuwa anajitafuta mwenyewe movie Kali sana hii π₯ kumbe yeye ndio mfungwa aliye Fanya mauwaji ama kweli kudata ni kitu kibaya sana
Tusio na wake, haituhusu au πAnko hizi usitazame peke yako tazama na mkeoView attachment 3484764View attachment 3484765
Mchawi lughaAnko hizi usitazame peke yako tazama na mkeoView attachment 3484764View attachment 3484765
Anko usithubutuTusio na wake, haituhusu au π