Pung'o boy
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 685
- 305
Hata mie EMPIRE hapana kabisaa yani sijawahi angalia hata episode moja...napenda series/movie za majambia na gang related' series na intelligence hasa zinazo wahusu waarabu na adventure na series zinazo involve technology na mambo kama hayo kwa mfano the 100 na revolution ni top series kwangu ila revolution wamezingua kuishia season 2....Kingine kinachomata kwangu ni story na kama ni series ni action ziwe kwelii sasa hapo ndio kimenishinda kwa GOT ingawa naifatilia na saiv nasubir season mpya itoke.....unajua kwann uliipenda jumong 7bu story inaeleweka tngu mwanzoni tofaut na GOT kingne nilichogundua ili upende seriez za story ni lazima uijue story yenyewe inahusu nini ama ushawai soma kitabu chake au unajua story ya hiyo seriez mfn niliipenda merylin 7bu naifahamu vizur historia ya uingereza na KING ATHUR sawa game of throne nilishawai kuisoma sehemu ila zamani kidogo
zipo ambazo zilinishinda mfn spartacus ilinishinda ROME ilinishinda
Hata 24 japo wanaisifia sana mimi hainibambi sana ingawa nimeona yote na naiangalia nikikosa cha kuangalia
Walking died ndo niliishia ep 01
ila seriez za ki vampire nazipenda kuliko zombie zinanizingua
sasa kuna jamaa yangu yeye ndo aliniingiza kwenye seriez aliniacha hoi aliponiambia EMPIRE haimbambi hta kidogo kaiacha EP03 S01 so hapo ndo
nilipogundua kila mmoja anamaudhui yake katika hizi seriez inaweza usipende za majambia lkn ukakuta kuna seriez inakubamba mbaya
mfano me si mpenzi wa seriez za kitenejesia ila ALIAS ilinibamba kinoma
mimi mpenzi sana wa seriez za majambia zenye story za kutukuka na hata KOREA napenda zaidi za KIJIJINI kuriko mjini
Nimevutiwa na series kuliko moviesHivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?
GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!
EMPIRE thumb up!
TEEN WOLF my favourite.
Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
Mnh! Wallah everhurt kama tunaishi nyumba moja itabidi kila mtu awe na tv yake!! Hadi ma-vampire!!! Basi kuna uncle angu yeye ni mpenzi wa series sana na sio mvivu ku-download!! Sasa akija home na laptop huwa namwambia anitajie series anazoona mbaya alizo-download na ndizo huwa nazichukua manake nafahamu nikimwambia anipatie series kali basi atanipatia hizo za ma-vampire na Game of Throne stuffs! Hiyo Teen Wolf alinipatia huyo huyo uncle angu na jinsi alivyokuwa anaisimulia including the Walking Dead, akanikamata aisee lakini zilinishinda mapemaa! Yaani mchizi ana taste fulani hivi very amazing!!! Trust me, huwa nawa-admire sana watu wenye taste kama hizo zako.
Nimevutiwa na series kuliko movies
Breaking Bad-Lets cook
Banshee-Mkono na kugegedana mwanzo mwisho wa series
Hannibal-Tuliza akili ukicheki hii kitu Hannibal nilimkubali sana
Dexter-Scream and you loose your tongue
Narcos-I'm Pablo Emilio Escobar,Banks are bandits
Mr.Robot-Mambo ya hacking na mkono kidogo
Daredevil-Inamkono mbaya alfu jamaa ni blind
Penny dreadfull
The strain
unajua kwann uliipenda jumong 7bu story inaeleweka tngu mwanzoni tofaut na GOT kingne nilichogundua ili upende seriez za story ni lazima uijue story yenyewe inahusu nini ama ushawai soma kitabu chake au unajua story ya hiyo seriez mfn niliipenda merylin 7bu naifahamu vizur historia ya uingereza na KING ATHUR sawa game of throne nilishawai kuisoma sehemu ila zamani kidogo
zipo ambazo zilinishinda mfn spartacus ilinishinda ROME ilinishinda
Hata 24 japo wanaisifia sana mimi hainibambi sana ingawa nimeona yote na naiangalia nikikosa cha kuangalia
Walking died ndo niliishia ep 01
ila seriez za ki vampire nazipenda kuliko zombie zinanizingua
sasa kuna jamaa yangu yeye ndo aliniingiza kwenye seriez aliniacha hoi aliponiambia EMPIRE haimbambi hta kidogo kaiacha EP03 S01 so hapo ndo
nilipogundua kila mmoja anamaudhui yake katika hizi seriez inaweza usipende za majambia lkn ukakuta kuna seriez inakubamba mbaya
mfano me si mpenzi wa seriez za kitenejesia ila ALIAS ilinibamba kinoma
mimi mpenzi sana wa seriez za majambia zenye story za kutukuka na hata KOREA napenda zaidi za KIJIJINI kuriko mjini
Unafikiri uoga?! Hayo ma-vampire yenu sio kwamba nayaogopa wala nini!! Kitu ambacho nakiogopa/kunikata stimu hata kama ni kwenye tv ni vitatu tu-- NYOKA, MADUDU WASHA na Jamii zake, VIUMBE WENYE MIGUU MIIINGIIIIIII (JONGOO, TANDU N.K)!!! Kama ni hao, am sorry... ghetto kwangu chini ya mlango nimeweka papi ya ubao ili hao jamaa wasije kupenya!!!Hahahahaha, umenivunja mbavu, ati kila mtu awe na TV yake,
Nimegundua wewe ni muoga, hahahaha,
Basi ukiangalia FINAL DESTINATION nahisi utazimia kwa kutetemeka,
Hasa uipate collection yake uangalie 1-5, thubutuuuu tutakupeleka ICU wewe lol.
Movies za kutisha ziko poa sana, yani husinzii na raha yake uangalie usiku, we acha tu.
mkuu chige ata mm nilikuwa nashangaa wapo wapi but me nipo aseeee ...nampenda sana mzee wa kuoga matopeeee na ongea yake ya kibabeHalafu sijaona wafuasi wa Suits humu-- au nipo peke yangu?!
Hahaa, yaani Louis lazima umpende tu no matter what!! He's my favorite kwa kweli ingawaje sometime ananiboa anavyotumia nguvu kutaka kumfurahisha Harvey!mkuu chige ata mm nilikuwa nashangaa wapo wapi but me nipo aseeee ...nampenda sana mzee wa kuoga matopeeee na ongea yake ya kibabe
Me louis akiongea lazm nirudie rudie mara mbili tatu...nafurahi mnoHahaa, yaani Louis lazima umpende tu no matter what!! He's my favorite kwa kweli ingawaje sometime ananiboa anavyotumia nguvu kutaka kumfurahisha Harvey!
Jamaa anajua si kidogo-- yaani hapa nasubiria S05E14 hiyo Jumatano manake naona kama haisogei!!!Me louis akiongea lazm nirudie rudie mara mbili tatu...nafurahi mno
Hahahah me sjaicheki bado ep 13 aliyeniibia modem yangu bado namlaaaaaani atakufa siku si nyingiiJamaa anajua si kidogo-- yaani hapa nasubiria S05E14 hiyo Jumatano manake naona kama haisogei!!!
Mtakuwa mnakosa sana uhondo kwani Game of Throne ni moja Kati ya series bora kabisa kuwahi katokea rate 9.5 - 10Hahahaaaa! Kwakweli pole zetu aiseee, kuna siku nikawaza nikasema maybe sijaichukulia serious mbona inasifiwa sn! Nikaiweka tena, khaah bado ikanishinda nikajikuta nasinzia tu nikaamua tu kuachana nayo
Noma aseee wanamkosaje dwarf my favoriteMtakuwa mnakosa sana uhondo kwani Game of Throne ni moja Kati ya series bora kabisa kuwahi katokea rate 9.5 - 10
Hapo kwa Banshee nakuunga mkono naipenda sana hii seriesNimevutiwa na series kuliko movies
Breaking Bad-Lets cook
Banshee-Mkono na kugegedana mwanzo mwisho wa series
Hannibal-Tuliza akili ukicheki hii kitu Hannibal nilimkubali sana
Dexter-Scream and you loose your tongue
Narcos-I'm Pablo Emilio Escobar,Banks are bandits
Mr.Robot-Mambo ya hacking na mkono kidogo
Daredevil-Inamkono mbaya alfu jamaa ni blind
Penny dreadfull
The strain
Hapana aisee acha tu huo uhondo niukose na roho iko kwatu kabisa, mie sio mpenzi wa movie za mapanga mapanga.Mtakuwa mnakosa sana uhondo kwani Game of Throne ni moja Kati ya series bora kabisa kuwahi katokea rate 9.5 - 10
kila mmoja na ntazamo wake lkn kwng mm cjawai kuielew maana wale watu muhim ndo wanakufa alafu kuna wakat inapooza sn...Mtakuwa mnakosa sana uhondo kwani Game of Throne ni moja Kati ya series bora kabisa kuwahi katokea rate 9.5 - 10
Kuna series tatu tu ambazo nakua anxious Sana kupata muendelezo wake na hata kutaka kujua new season ni lini..kila mmoja na ntazamo wake lkn kwng mm cjawai kuielew maana wale watu muhim ndo wanakufa alafu kuna wakat inapooza sn...
Mtakuwa mnakosa sana uhondo kwani Game of Throne ni moja Kati ya series bora kabisa kuwahi katokea rate 9.5 - 10