Series (Special thread)

Mie movie za mjambia hapana jamani, hiyo got inavyosifiwa ila mie ilinishinda, niliishia episod ya kwanza tu
Basi mimi na wewe pole zetu manake hiyo Games of Throne inavyosifiwa halafu wengine tushindwe kumaliza japo episode moja-- maybe tutakuwa na matatizo!!!
 
Basi mimi na wewe pole zetu manake hiyo Games of Throne inavyosifiwa halafu wengine tushindwe kumaliza japo episode moja-- maybe tutakuwa na matatizo!!!
Hahahaaaa! Kwakweli pole zetu aiseee, kuna siku nikawaza nikasema maybe sijaichukulia serious mbona inasifiwa sn! Nikaiweka tena, khaah bado ikanishinda nikajikuta nasinzia tu nikaamua tu kuachana nayo
 
Crosing line
Crossbones
Desperated house wives s0 1&8
Fargo
Friends with better lives
Gossip girls
Graceland
Gracepoint
Life pieces
Motive
Pretty little liers s01&5
Resurrent
Salem
Saving hope
Sinnad
The american
The goldbergs
The have and have note
The vampire deries
Undercover
unforgettable
Weeds
Z nation
Zero hour
Dracula
Basketball wive

Kwa atakeye itaji naweza kunichek nagawa maana nataka kuzigufuta
 
Hahahaaaa! Kwakweli pole zetu aiseee, kuna siku nikawaza nikasema maybe sijaichukulia serious mbona inasifiwa sn! Nikaiweka tena, khaah bado ikanishinda nikajikuta nasinzia tu nikaamua tu kuachana nayo
Hahaha! Mi kwa kumbukumbu zangu nimejaribu kuiangalia kama mara 4 hivi... kila ninapoanza kuiangalia upya, najiambia kwamba sita-forward wala nini hadi nimalize lakini wapi!!! Mbaya zaidi ni kwamba hakuna muda wa kuibembeleza manake daily inashuka mizigo mipya kwahiyo ikikuzingua tu, tupa kule!!
 
Home land bhana ni bonge moja ya series ila wameboa tom kufa...na season 4 ingawa dialogue ilikua ishapotea ila nimeipenda imereflect ukweli maana sababu ya Mmarecan kushindwa na talibani. Taliban walikua wanapewa taarifa za kiintelejensia na pakistan
 
Game of throne ni kweli haina mvuto sana...sema basi tu tunaangalizia ubishi tu maana story yake haielewek elewek kila siku watu unaotegemea watakua wana nguvu wanakufa had saiv watoto wa lord starck wanaojielewa hayupo hata mmoja sasa cjui watarevenge nin kifo cha baba yao na yule mama nae kapoteza nguvu yan hata sielewi naangalia kibishi tu
 

Ninachoipendea TEEN WOLF ni ile serious comedy yao,
Yani hapa Stiles, pale Scott pemben Derick hlf funga kazi ni anko Peter, daaah hua nacheka sana, na huwez amin kila nikiwa bored hua naicheki vipande kadhaa nacheka hlf naitoa.

Yap km taste yako sio mambo ya historical Game of thrones lzm ikushinde,
Kama mimi napenda movies za mavampire, draculas, na kuchinjana (mf. Wrong turn) ila sipendi movies za MAZOMBIE km hiyo walking dead sijui World war Z,
Yani hua wananitia kinyaa!!
 
Basi mimi na wewe pole zetu manake hiyo Games of Throne inavyosifiwa halafu wengine tushindwe kumaliza japo episode moja-- maybe tutakuwa na matatizo!!!
nyi mnapenda seriez za mbiombio tu tngu pale inaanza ila siwalaumu game of throne yataka moyo 7bu mpk s02 mwishoni ndo inaanza kukimbiza
kingne game of throne ili uipende lazima uelewe wanachokizungumza sasa kwa wale wapenzi wa movie kwa kufatisha matukio ni ngumu kuipenda game of throne mimi huwa ainipiti hata neno ndo mana siwezi kuiangalia bila subtitle na si game of throne seriez bila subtitle huwa sipendi kuangalia
Mie movie za mjambia hapana jamani, hiyo got inavyosifiwa ila mie ilinishinda, niliishia episod ya kwanza tu
 
Mkuu, kwa namna moja au nyingine inawezekana upo sahihi lakini, suala la story kwangu ndio top priority! Chukulia The Americans kwa mfano, Wabongo wengi hawaipendi ile series lakini kwangu ndio top series; WHY? STORY! Kama unafahamu what it means linapokuja suala la spy stuff basi hata 24 inasubiri mbele ya The Americans lakini 24 majority wanaipa kudos coz' hawaangalii sana story bali ule mshike mshike wake! Kwa anayependa zaidi mshikemshike, ataona The Americans & Homeland zote zinaboa!

Spy stuff ndio my favorite genre. Tena napenda zile spy ambazo ni spy hasa kama za The Americans & Allegiance (RIP).

Suala la story kwenye Game of Throne kuna mtu aliniambia hivyo hivyo kwamba stori yake ni kali sana! Probably isn't the kind of stories ambazo huwa nazipenda lakini bado kabisa! Lakini kubwa kuliko yote, ni ile negative perception niliyonayo about filamu za majambia! Baada ya kuona watu wanaisifia sana Merlyn, nikaitafuta fasta! Ile kuifungua tu; mijambia hiyooo! Nika-stop na hadi leo sijaiangalia tena!! Same happened to Spartacus! Ajabu, Jumong naipenda ingawaje lazima nikiri kwamba niliifuatilia Jumong wakati sikuwa na option lakini hatimae ikanibamba!
 
Mnh! Wallah everhurt kama tunaishi nyumba moja itabidi kila mtu awe na tv yake!! Hadi ma-vampire!!! Basi kuna uncle angu yeye ni mpenzi wa series sana na sio mvivu ku-download!! Sasa akija home na laptop huwa namwambia anitajie series anazoona mbaya alizo-download na ndizo huwa nazichukua manake nafahamu nikimwambia anipatie series kali basi atanipatia hizo za ma-vampire na Game of Throne stuffs! Hiyo Teen Wolf alinipatia huyo huyo uncle angu na jinsi alivyokuwa anaisimulia including the Walking Dead, akanikamata aisee lakini zilinishinda mapemaa! Yaani mchizi ana taste fulani hivi very amazing!!! Trust me, huwa nawa-admire sana watu wenye taste kama hizo zako.
 
Hahaa! Mnaiangalia kiubishi!! Inawezekana kweli kiubishi manake, trust me, ingawaje nimeiangalia mara 3 na imenishinda lakini bado nimeanza kui-download upya (nilii-delete baada ya kuona inanijazia nafasi) ili eti niiangalie tena!! Si ndo ubishi wenyewe huu!
 

unajua kwann uliipenda jumong 7bu story inaeleweka tngu mwanzoni tofaut na GOT kingne nilichogundua ili upende seriez za story ni lazima uijue story yenyewe inahusu nini ama ushawai soma kitabu chake au unajua story ya hiyo seriez mfn niliipenda merylin 7bu naifahamu vizur historia ya uingereza na KING ATHUR sawa game of throne nilishawai kuisoma sehemu ila zamani kidogo
zipo ambazo zilinishinda mfn spartacus ilinishinda ROME ilinishinda

Hata 24 japo wanaisifia sana mimi hainibambi sana ingawa nimeona yote na naiangalia nikikosa cha kuangalia
Walking died ndo niliishia ep 01
ila seriez za ki vampire nazipenda kuliko zombie zinanizingua

sasa kuna jamaa yangu yeye ndo aliniingiza kwenye seriez aliniacha hoi aliponiambia EMPIRE haimbambi hta kidogo kaiacha EP03 S01 so hapo ndo
nilipogundua kila mmoja anamaudhui yake katika hizi seriez inaweza usipende za majambia lkn ukakuta kuna seriez inakubamba mbaya
mfano me si mpenzi wa seriez za kitenejesia ila ALIAS ilinibamba kinoma

mimi mpenzi sana wa seriez za majambia zenye story za kutukuka na hata KOREA napenda zaidi za KIJIJINI kuriko mjini
 
Yah! Upo sahihi kabisa kuhusu Pakistan Intelligence na Taliban. Na kimsingi, Taliban ilizaliwa Pakistan wakati Urusi ilipokuwa inaikalia Afghanistan na Pakistani ilikuwa ni moja ya mataifa machache sana ambao waliutambua utawala wa Taliban. Sasa ule uhusiano wao wa enzi wanaipiga vita Urusi hadi kesho upo kichinichini.
 
Ila walikosea sana brody kufa unajua story ndio ilikua kama imeishia s03...ila wakaforce kuindeleza had s05.... Ila homeland kwa homeland tupo pamoja na ni nan anasema homeland mbaya?????
 
WHAAAAAAAT? Tuanze na la huyo jamaa yako kwanza! Ni Empire ipi hiyo unayoizungumzia kwamba mshikaji wako haipendi? Ni hii hii ya akina Lucious na Cookie au nyingine? Kama ndo yenyewe basi kweli issue ya TASTE ni kitu cha ajabu sana manake, ni kv tu nafahamu taste ya mtu ina mchango mkubwa sana ktk kupenda hiki au kile otherwise wala nisingemuelewa mtu akisema Empire ni mbovu!

Kuhusu kufahamu kwanza stori za vitabuni nakubaliana na wewe kwa 100% na hii ndio sababu series na filamu za vampires, zombies, batman stuff na hata GOT stuff zinafanya vizuri sana USA manake majority origin yake ni comic books kv Marvel Comics (for Spiderman stuffs). Na majority ya Wamarekani wamevisoma hivi vitabu tangia utotoni hadi ukubwani depending na rating manake vingi vinakuwa kwenye graphics. Is like sisi watoto wa zamani utuambie kuna series ya akina Lord Lofa na Pimbi (Sani), obvious lazima tutazipenda tu manake ikiwa tulizipenda zikiwa kwenye mfumo wa picha seuze motion picture!
 
Ila walikosea sana brody kufa unajua story ndio ilikua kama imeishia s03...ila wakaforce kuindeleza had s05.... Ila homeland kwa homeland tupo pamoja na ni nan anasema homeland mbaya?????
Kuhusu Sargent Brody, kama haikuwa ni suala la kimkataba lakini ni plotting ya stori tu ndio ilikuwa lazima Brody afe, basi am sure hata wenyewe baadae waligundua kwamba walichemka! Na upo sahihi kabisa, baada ya Brody kufa ikabidi wai-force story ili i take-off.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…