Series (Special thread)


Hahahahaha ulitisha,
Hata mimi nilikua simpendi yule mzee, ila baada ya kukua na kujua kua ile ni acting ndio nikamuelewa.
 
Wakuu shukrani sana kwa michango yenu,, haya wengine ndo mahoby yetu wkend tunajfungia ndina tu ubuyu pembeni twala vitu tu..
 
Hahahahaha ulitisha,
Hata mimi nilikua simpendi yule mzee, ila baada ya kukua na kujua kua ile ni acting ndio nikamuelewa.
Hadi leo ingawaje nishakuwa jitu lizima lakini bado simpendi Bi. Mwenda! Yaani namuona kama lichawi fulani hivi! Usanii taabu tupu!
 
Kuna kiseries kimekaa kizembezembe sana ila ni kali hatari to the badlands season 1 imeishia episodes 6.. Season 2 sijui inatoka lin ni kali sanaa nilianza episode 1 saa 4 ucku afu kesho nina test saa 2 asubuhi audit and assurance dah nikajikuta nimemaliza episode zote 6.
 
Yes inachangamka later na nzuri sana... Inteligence yake iko vizuri.... ingawa haipo fast kama 24 lakini ipo poa na some character wana maneno flani hivi amazing 🙂
I love Homeland-- uncle angu ananiambia najua kupenda vibovu coz' pamoja na kuipenda Homeland, my Top Favorite Series for now ni The Americans ambayo anaamini ni moja ya series mbovu kupata kutokea!! Hapa nilipo am dying waiting kuona nini kitaendelea baada ya Paige ku-blow cover ya wazazi wake kwa Mchungaji! I am also dying to know ikiwa Mchungaji nae ni Mchungaji kweli kweli au ni KGB stuff! Ni March 16 lakini naona ipo mbali ile mbaya!
 
Hii inahusu nini mpendwa?
Hiyo inahusu vampires walipoanzia, km ulishawahi kuona au kuskia vampire diaries, basi ile ni muendelezo wa hii the originals, km unapenda series za vampires basi hizi mbili si za kukosa
 
Hiyo inahusu vampires walipoanzia, km ulishawahi kuona au kuskia vampire diaries, basi ile ni muendelezo wa hii the originals, km unapenda series za vampires basi hizi mbili si za kukosa
Aisee vampire siangalii hata kwa bunduki, siwezi kabisa.
 
Hivi wakuu last ship inarudi lini? Nimeimiss kwakweli.
Ile huwa inaanza kwenye October hiviii
Ikiwa ratiba haitabadilika, itakuwa aired wakati wa summer ambayo huanza mwishoni mwa June... specifically 20th or 21st.
Last ship wameendelea washatoa tena kama episode 4
Wameshatoa kwa maana ya kuwa hewani, au? Manake kama ni Season 3 ndo kwanza ipo kwenye production.



Hizo picha zilikuwa released Ijumaa iliyopita.
 
chige hujambo? Habari za masiku? Umeadimika haswaaaa,
Nashukuru kwa tarifa mkuu
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

TEEN WOLF my favourite.

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
Za Kizungu, za Kikorea mie zote twende tu ili mradi ziwe genre ninazopenda! Hata hivo, Teen Wolf, HAPANA--- Game of Throne & Other Majambia Stuff nasubiri miezi ipite ndipo nijaribu tena! Sio siri, kwa Game of Throne nadhani tatizo ni mimi na taste zangu manake wengi wanaisifia lakini kila nikijaribu kuicheki, episode ya kwanza simalizi, same to Walking Dead!
 
Mie movie za mjambia hapana jamani, hiyo got inavyosifiwa ila mie ilinishinda, niliishia episod ya kwanza tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…