Guys,
Jana nimeangalia The Day of the Jackal kwa mara ya kwanza na kuimaliza yoooote, baada ya bro wangu kuisifia sana, kiukweli ilinikosha ila sasa nimebaki najiuliza pale Jackal alipoenda nyumbani kwa yule kaka, wakakulana nani alimla mwenzie!???🤣🤣🤣🙌🏻