Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Hii si inabidi ukae na chupa la mafuta pembeni au😁Kumbe Sex Education ni kali hivi, mwaka wa tatu huu nilikuwa nikiiona naipuuzia tu View attachment 3437595
Hii si inabidi ukae na chupa la mafuta pembeni au😁Kumbe Sex Education ni kali hivi, mwaka wa tatu huu nilikuwa nikiiona naipuuzia tu View attachment 3437595
Hapana sio lazima 😂😂Hii si inabidi ukae na chupa la mafuta pembeni au😁
Nilikuwa naendelea na the undoing nimeimaliza sasa nahamia kwenye trigger ya kikorea.Yupo wapi mkongwe legendi Mr Q
Karibu sana jukwaani brotherJana na Leo mkuu wangu. Nimo sana humu tupo wote jukwaani hapa. ✍️✍️✍️
Au na mtoto mzuri pembeniHii si inabidi ukae na chupa la mafuta pembeni au😁
Ndio niliwahi kumiliki ofisi ya kuuza movie kariakoo ila ile Mishe nikaja kuachana nayobrother kuna movie huijui kweli wewe au unafanya biashara ya kuuza movie!??
Bado sijaicheki ishakuwa available online
Bado kaka nahisi mwezi ujaoBado sijaicheki ishakuwa available online
hapo mwisho unamaanisha Ballard ya Maggie Q..!?Nilikuwa naendelea na the undoing nimeimaliza sasa nahamia kwenye trigger ya kikorea.
Kama unayo nyingine kama hiyo iweke hapa nazikubali sana kuanzia Ile your honor blackbird Fargo na defending Jacob
Nikimaliza trigger ntaenda kwa bidada Nikita na series yake mpyA
ni kigongo..!?
Hiyo nianza soon yan chap sanahapo mwisho unamaanisha Ballard ya Maggie Q..!?
ndiyo niko na bang nayo sahii..!!
Ndio itaendeleaCarleen ushaicheki wednesday s2, ni nzuri. Halafu eti Vincenzo Jr ep ya 05 ya wednesday itaendelea tena mwezi ujao ?
Ni nzuri sana sema inatisha vibaya mno 😀ni kigongo..!?
Pole mwanangu 😀 😀😂😂😂😂
nimemaliza tajiri mwenzangu..
ila kupigika tu nimejua kupigika sina hamu..!🙌