Series (Special thread)

Exactly, yaani 24 ilituharibu kweli now kila kitu cha kawaidaaa, ukijumlisha na huu ushoga wao ndio kabisaaa!
Mi nimeacha kabisa kuangalia hizi series za fbi, csi hawana kitu kipya cha ushawishi
 
Wakuu nadhani sasa inabidi twende vizuri na latest series at least kuanzia mwaka 2014 to date, mfano tu mwaka 2015 kuna vitu vya moto hatari sana ambavyo nimeshavicheki,
1. Narcos
2. Blind spot
3. The player ni noma sana hozo, zote ni za 2015
 
Kama uliipenda "lost " wazee wa the others
Basi lazima uipende "the 100" wazee wa the grounders
 
Wakuu nadhani sasa inabidi twende vizuri na latest series at least kuanzia mwaka 2014 to date, mfano tu mwaka 2015 kuna vitu vya moto hatari sana ambavyo nimeshavicheki,
1. Narcos
2. Blind spot
3. The player ni noma sana hozo, zote ni za 2015
Kuna badland ni hatari umo ndan!!!!
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

TEEN WOLF my favourite.

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
 
Hivi THE ORIGINALS iliendelea au wameishia kati?

GAME OF THRONES imenipita sana duuh mpk King Jofrey kafa!!

EMPIRE thumb up!

Series za kizungu nimekua mvivu sana kuangalia I dont knw why,
Atleast movies.
Game of throne ipo adi season 5 ni balaaaa

shuveplus
 
Yupo shabiki wa 'HOMELAND' humu wakuu? wakina Kerry Madson, Nic Brodie na my favourite Peter Quin.
Brodie si alinyongwa au amefufuka maana mi baada ya ile episode ya Brodie kufa sikuona umuhim wa kuendelea kufuatilia Homeland
 
Brodie si alinyongwa au amefufuka maana mi baada ya ile episode ya Brodie kufa sikuona umuhim wa kuendelea kufuatilia Homeland
Kweli pale story ya utangulizi wa homeland ilishaisha but ikaendelea na familia ya brody aikuonyeshwa tena
 
how to get away with murder seaso 2 episode 10 imetoka jana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…