Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,089
- 9,423
Mkuu hizo movie muendelezo wake umecheza kama pele6. The Equalizer zote
7. 13 Hours In Benghazi
8. Guy Ritchie's The Covenant
Series ongezea na hizi
* Banshee
* Nikita
* The 100
* Strike Back
Mkuu hizo movie muendelezo wake umecheza kama pele6. The Equalizer zote
7. 13 Hours In Benghazi
8. Guy Ritchie's The Covenant
Series ongezea na hizi
* Banshee
* Nikita
* The 100
* Strike Back
asnt kakaAu tumia uTorrent mkuu
Barry (2018) Season 2 S02 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC (download torrent) - TPB
Download Barry (2018) Season 2 S02 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay0.org
Barry (2018) Season 1 S01 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC (download torrent) - TPB
Download Barry (2018) Season 1 S01 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay0.org
Ikikushinda njia hii tumia apk ya onstream mkuu
Bonge moja la kituNilisha shindwa kuifuta hii series kwenye external yangu aisee 😃
asante nimefanikiwaAu tumia uTorrent mkuu
Barry (2018) Season 2 S02 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC (download torrent) - TPB
Download Barry (2018) Season 2 S02 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay0.org
Barry (2018) Season 1 S01 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC (download torrent) - TPB
Download Barry (2018) Season 1 S01 (1080p AMZN WEB-DL x265 HEVC 10bit EAC torrent or any other torrent from the Video HD - TV shows. Direct download via magnet link.thepiratebay0.org
Ikikushinda njia hii tumia apk ya onstream mkuu
Wamekunywa maji ya benderaNadhani KGB ndio shirika la ujasusi hatari duniani...
Yeah! Inakua ngumu kufuta..Bonge moja la kitu
Ukiwa na strorage yakutosha hutoi baadhi ya muvi kwenye memory zako

na uhondo uliopo ndani nahairisha kufuta..
zinazo nivutia, nyingi za miaka ya nyuma kidogo "Actions Movies" hizi za siku hizi na stream tu huko online na kuacha nazo naona hazina ushawishi sana wa kuzi download na kuzitunza kikubwa tu nina Unlimited na stream maisha yanaenda...
Exactly 💯 mkuuNadhani KGB ndio shirika la ujasusi hatari duniani...
Kuna mafia Kai Proctor, Lucas Hood (Sheriff wa mchongoBanshee aisee umenikumbusha mbali Sana hasa bwana sugar...
Sheriff Hood) yule manzi Carrie Hopwell na Rebecca, kuna lile jamaa la IT (hacker) lina pigo za kike hivi ila linyama kinoma linaitwa "Job" daah mzigo mzuri sana ule..Oya lile jamaa Job ukiliona unalidharau linapiga mkono sio kitoto kwenye silaha sasa hatari.... Ukiona limenyoa para ni limafia kwelikweliKuna mafia Kai Proctor, Lucas Hood (Sheriff wa mchongoSheriff Hood) yule manzi Carrie Hopwell na Rebecca, kuna lile jamaa la IT (hacker) lina pigo za kike hivi ila linyama kinoma linaitwa "Job" daah mzigo mzuri sana ule..
4- ipo kama inceptionHizi ni movie zilizo directiwa na Christopher Nolan nilizo jua hapo ni
1. Oppenheimer , 2. Dunkirk, 3. Dark Knight, 5. Interstellar, 9. Inception, 10. The prestige, 12. Nahisi ni Tenet au memento.
Ila hizo nyingine ni zipi
4, 6, 7, 8, 11. View attachment 3396695
Terminal list npo nairudia tena wiki hiiYeah! Inakua ngumu kufuta..
1. Terminal List
2. Banshee
3. The Americans
4. Day Of The Jackal
5. Prison Break
Hizi ni series ambazo sijazifuta kila nikitaka kufuta nakumbuka matukiona uhondo uliopo ndani nahairisha kufuta..
Na nina movies zaidi ya 100+ kwa External sijazifuta huwa nazirudia rudia kuangalia kukiwa hakuna new releases za movieszinazo nivutia, nyingi za miaka ya nyuma kidogo "Actions Movies" hizi za siku hizi na stream tu huko online na kuacha nazo naona hazina ushawishi sana wa kuzi download na kuzitunza kikubwa tu nina Unlimited na stream maisha yanaenda...
Kama ni kwa simu chukua hiziSite gani ya kuangalia online, tubi, yuppow na hd today naona inakwama kwama sana
Mie sites za kustream kwa TV na Computer natumia hizi..Site gani ya kuangalia online, tubi, yuppow na hd today naona inakwama kwama sana
Wayback naanza kuangalia mwanzo mwa series nilikua silielewiOya lile jamaa Job ukiliona unalidharau linapiga mkono sio kitoto kwenye silaha sasa hatari.... Ukiona limenyoa para ni limafia kwelikweli
nilijua huu mzigo kuna umende mende niupige chini sijui make pigo zake tu kujishaua kama demu na pozi zake, nikakaza roho nikaendelea nayo daah kumbe jamaa sio shoga wala ni li mafia vibaya sana na bonge moja la hacker...Director nae alikua vizuri kwenye maelekezo maana vitu vinampangilio mzuri sanaKuna mafia Kai Proctor, Lucas Hood (Sheriff wa mchongoSheriff Hood) yule manzi Carrie Hopwell na Rebecca, kuna lile jamaa la IT (hacker) lina pigo za kike hivi ila linyama kinoma linaitwa "Job" daah mzigo mzuri sana ule..
Imagine unapigwa na yule jamaa unaenda kitaan washkaji wakikuuliz vp unasema umepigwa na shogaWayback naanza kuangalia mwanzo mwa series nilikua silielewinilijua huu mzigo kuna umende mende niupige chini sijui make pigo zake tu kujishaua kama demu na pozi zake, nikakaza roho nikaendelea nayo daah kumbe jamaa sio shoga wala ni li mafia vibaya sana na bonge moja la hacker...


You’re the best after me 😉Mie sites za kustream kwa TV na Computer natumia hizi..
1. https://boredflix.com/ (My best ina server nyingi za kustream)
2. https://lookmovie.fi
3. NetMirror.cc
4. web.stremio.com (inahitaji add-ons za torrents kama torrentio)
Hizo kwangu zinakubali bila shida hata kama internet ni dhaifu...
Kuna moviebox.ng japokua siku hizi inazingua zingua na kubagua mtandao hasa kama unatumia VPN usitumie server za nchi ambazo haziruhusu pirated contents za movies.
Kama unatumia simu download OnStream kuna mdau kai share hapo au Stremio, pia NetMirror...