Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,236
- 79,770
Here waiting with my mouth watering/drooling
derby unatazama wapi leo mwanangu..??
Home tu mwanangu 😎 na Projekta langu kama nipo century cinemax 😎derby unatazama wapi leo mwanangu..??
HahaHome tu mwanangu 😎 na Projekta langu kama nipo century cinemax 😎
Jila la hiyo series mkuuuHapana sikupangi mkuu
Huyu Mwamba hafai,
Ahahaaah!Huyu Mwamba hafai,
Habari zake huyu
Beast Titan anazo A to Z
Balaa la Huyu Mwamba huwa namfananisha na balaa la huyu mtaalam Vice Captain wa Third division.Ahahaaah!
Zeke alikuwa anamuogopa huyu mwamba kama Mungu!!!
Outer BanksJila la hiyo series mkuuu
Hii app inaitwaje?
Hii Mercy for None niliachia njiani, hamna kituRates za hii series “KABUL” zikoje? Kabla sijapoteza MBs zangu, maana nilitembea na hype ya “Mercy for None” nikaja ona hata sio mambo yangu ya kawaida sana na uongo mwingi
Bado tuuu??
Wanasema haitakua na happy ending, wenye machozi yao wajiandae kulia na kugalagala
Akina Junior utawajua TUBalaa la Huyu Mwamba huwa namfananisha na balaa la huyu mtaalam Vice Captain wa Third division.
Soshiro Hoshina
View attachment 3383218

