Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,357
- 17,695
Upo sahihi kabisa, mule kila kitu kina maana yake hadi ile michoro kwenye opening theme ina maelezo yake watu ndio wameanza kuielewa hii season 3Nimeangalia From season 1 ep 01 kuna scene julie anamsimulia ethan story kaweka vimidoli kwenye vidole mmoja wa mdoli anaitwa norman, kasimulia kisha norman akafa kwenye story, ethan akamwambia julie "bring him back, you have to bring him back", nikaanza kufikiria huenda ma directors walikuwa wanatuonyesha hints za julie alivyo sababu sidhani series kama from wanaweza kuweka dialogue ya aina ile alafu iwe ni ya kusongeza scene mbele haina maana, pia ep 02 kipindi wanawapeleka kwenye colony house baada ya kutoka kwenye ajali kuna Monster mmoja alimuita julie kisha akamwambia "don't you recognized me" julie akabaki anashangaa tu, huenda labda huyo ni monster ambaye alikutana naye kipindi anajaribu ku time travel kila matukio ili abadilishe story.
Vincenzo Jr Dr. Mariposa Carleen sawima
with his wicked grin..! 😂Wadau wengi walikasirishwa na kifo chake cha ghafla wakaona wamrudishe kwa style ile
Bora ulivyonishtua maana notifications hua nasahau kuangalia,with his wicked grin..! 😂
Nilivyoacha kuogopa ndiyo nikagundua he is not that bad..!!🙌
btw, check your notifications kuna pahala nilikutag..!
Shukrani sana bosi hii just mercy ngoja niicheki huyu mchumba brie Larson fundi sana
Hongera sana mwanangu now sasa Kila horror utaiweza 😎😎kwanza mnatakiwa mnipongeze maana nilijikaza nikaenda kumalizia kuitazama From, ila naona huku mwishoni haitishi sana kama kule mwanzo..!!
Na kwanini wamemu - reincarnate 'Smiley', wamenikwaza sana..!!
Mwamba sana huyu ukikutana nae usiku umeisha vibaya mnoIlibidi nimtafute Jamie McGuire in real world kwa kweli..!😂😂🙌
View attachment 3358171View attachment 3358172View attachment 3358173
Mtafutie zile za kawaida kwanza nenda nae slow, usije kumpa zile horror hard core ugonjwa ukarudi tena😄😄😄Hongera sana mwanangu now sasa Kila horror utaiweza 😎😎
thank you dosho, hapo nimeona tu Infinite nitatafuta hizo nyingine, hivi dosho ina maana gani ndugu yetu...??
😂😂😂😂Mtafutie zile za kawaida kwanza nenda nae slow, usije kumpa zile horror hard core ugonjwa ukarudi tena😄😄😄
haikuwa rahisi walaqhi', ila nilichogundua ni kuwa sitakiwi kutazama usiku pia..!!Hongera sana mwanangu now sasa Kila horror utaiweza 😎😎
😂😂😂😂Bora ulivyonishtua maana notifications hua nasahau kuangalia,
Nimeiona, umenichekesha😀
hapa sijakupata vizuri madamhivi dosho ina maana gani ndugu yetu...??
Jina la dosho12 lina maana gani..!hapa sijakupata vizuri madam
😄😄 Hili ni jina la ukoo , mimi ni mdigo na 12 ni ngazi ya mwisho ya mafunzo ya budha, napenda teaching za budha😁😁Jina la dosho12 lina maana gani..!
Haka katoto kwenye hiyo sweet girl si ndo huyu anaeliwa na Ellie
Ndio yeyeHaka katoto kwenye hiyo sweet girl si ndo huyu anaeliwa na Ellie
Kiboko yake huwa ni mwanetu boyd😅😅 jamaa anakipaji sijaona tabasamu la mtu likatisha kama la yule jamaa
Ndio ipo vizuri sana mwananguhaikuwa rahisi walaqhi', ila nilichogundua ni kuwa sitakiwi kutazama usiku pia..!!
Nilikuuliza kuhusu the cleaning lady 4 kama umeitazama..