The witcher ya yule jamaa wa superman ni nzuri naipa 8.2/10 , ina game lake pia ni zuriWitcher ni nzuri? Rate!!!
35Namba ya umri wake ni ngapi?
Kuna vipande vya kupeana Raha humu sio powa niliwahi kuwaekea madogo nikaitoa fastaThe witcher ya yule jamaa wa superman ni nzuri naipa 8.2/10 , ina game lake pia ni zuri
View attachment 3356493
Ila season 4 nilisikia wanambadilisha jamaaKuna vipande vya kupeana Raha humu sio powa niliwahi kuwaekea madogo nikaitoa fasta
Itakuwa ya hovyoIla season 4 nilisikia wanambadilisha jamaa
Itapunguza mzuka ila nasikia wana mreplace na mdogo wake na chris hermsworth ThorItakuwa ya hovyo
Ni kweli Liam Hemsworth anaenda kuchukua nafasi ya Henry Cavill, naona fans hawajakasirika sana sababu wanampenda Liam yaan ana wafuasi wengi pia, hofu yangu ni ile chemistry iliyokuwepo kati ya Witcher na Yennefer itakuwepo kwao pia? nilikua naipenda love story yaoItapunguza mzuka ila nasikia wana mreplace na mdogo wake na chris hermsworth Thor
Ila ile role inamfaa zaidi henry cavil ni kama alizaliwa kuwa the witcherππ ni kama kwenye series ya From waamue kumreplace sherif boyd wa sasa, haitapendeza hata wakimchukua Denzel hatakuwa na ile vibe kama boyd aliyepo ππNi kweli Liam Hemsworth anaenda kuchukua nafasi ya Henry Cavill, naona fans hawajakasirika sana sababu wanampenda Liam yaan ana wafuasi wengi pia, hofu yangu ni ile chemistry iliyokuwepo kati ya Witcher na Yennefer itakuwepo kwao pia? nilikua naipenda love story yao
Hivi from iliishia wapi?Ila ile role inamfaa zaidi henry cavil ni kama alizaliwa kuwa the witcherππ ni kama kwenye series ya From waamue kumreplace sherif boyd wa sasa, haitapendeza hata wakimchukua Denzel hatakuwa na ile vibe kama boyd aliyepo ππ
tuna subiri season 4 sasa hv nahisi itakuwa mwakani, season 3 ulishaimaliza au bado ?Hivi from iliishia wapi?
Umenifanya nimuimagine Denzel na kikengere anakatiza pale Diner π€£π€£π€£Ila ile role inamfaa zaidi henry cavil ni kama alizaliwa kuwa the witcherππ ni kama kwenye series ya From waamue kumreplace sherif boyd wa sasa, haitapendeza hata wakimchukua Denzel hatakuwa na ile vibe kama boyd aliyepo ππ
Urudi kutupa mrejesho mkuuπNgoja niitafute
Ukivaa viatu vya Harry hapo Sijui utafanya maamuzi gani ? π€View attachment 3353485
Mazungumzo magumu sana haya kuwahi kutokea.
Best movie π₯ πΏDuuuuh, Hii Sinners.
Something is Off kuhusu hii Movie.
Zile pigo za Mziki ni kama wanaabudu Fulani hivi.
But overall wamejitabidi na idea yao kama hawana ajenda nyuma ya pazia.
Huyu Maza miyeyusho sana πUkivaa viatu vya Harry hapo Sijui utafanya maamuzi gani ? π€
Hizi series muda mwingine zinatufunza mengi
daaaaang'....!!π₯π₯π₯π₯Bado siku chache sana mwanangu π Cc Carleen dosho12 Mr Q if cap fits Angel Nylon
View attachment 3357644
Netflix si huwa wanashusha mzigo wotr?Bado siku chache sana mwanangu π Cc Carleen dosho12 Mr Q if cap fits Angel Nylon
View attachment 3357644