Hivi wewe ulielewa aliyemuua yule dogo ni nani, maana yule aliyejinyonga alilazimishwa andike barua na jacob anasema hakuuaMoja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?
Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3
2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7
3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30
NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA
HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
Huyu ni MC wa Anime ya ATTACK ON TITAN.Huyu bwana ni Hero au anti hero wakuu!!!π?
View attachment 3346477
nashukuru sana kakaMoja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?
Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3
2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7
3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30
NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA
HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
Haha! That was expectedWakuu hii series Sex Education inanimalizia sabuniπ€, ushauri wenu wakuuπ
Usipande mnazi na mkono mmoja kaka ni hatari kwa afya yako muhimu hapo ni kuingia kwenye ndoa tuWakuu hii series Sex Education inanimalizia sabuniπ€, ushauri wenu wakuuπ
Sites ni nyingi sana mkuu, kama mpaka mwaka huu una hangaika na ku download hizi movies pole sana...samahani wakuu nilikua natafuta site ya kudownload hii series
Defending jacob
nimekosa site ya kodwnload nimekuja kwenu kuomba kwa anaefahamu site naweza pata hii series nikadownload namaliza nashukrani.
Treadstone nzuri aisee mie naweza irudia hii chumaMe naikubali brave na terminal list, je vipi special ops au treadstone ni kali pia hzo nyingie sijawahi kuziona
Mie natamani hata leo watoe hiyo ep ya 10 [emoji23][emoji23] nilicheka ya 09 ilivyoisha Maeve na Conrad wanavyoimba kajinga sana kale kabibi [emoji23]MOBLAND bado inaleta hamu sana
Ni chuma kile, ila cha ajabu ili canceliwa, sijui wamarekani hawajui series yani series nzuri wao wanaona hazifai ila super natural me sikuona kama ni nzuri ila ina season kibaoTreadstone nzuri aisee mie naweza irudia hii chuma
Ya mwaka gani hii? Nakutana na picha kama hii nisije jikuta nabeba makatuniFargo ni balaa π₯, wewe uliyeileta hii nakupa π
Tamu sana mkuu, ni True storyYa mwaka gani hii? Nakutana na picha kama hii nisije jikuta nabeba makatuni
View attachment 3348542View attachment 3348543
Ndio hiyo ina hilo cover au?Tamu sana mkuu, ni True story
sidhani kama ni Seraphina, japo alinishangaza alivyokuwa na ujasiri pale alivyom-confront Alice, ni kama kapewa kichwa na baba yake, ndiyo maana Maeve alipanic balaa..!!Au itakuwa ni Seraphina
Inawezekana kuna kitu wamemaanisha, sababu naamini pia Harry alivyomuambia Eddie kuwa 'I'll push you off', kuna kisasi matata kinapangwa pale..!!πHata Jaime alimuuliza Harry kuhusu rat harry akamjibu kuwa anamjua
Sema Kuna kauli aliongea Conrad
"Eddie don't forget to feed the dog..."
Hii kauli inamaanisha kitu sio bureπ€
ππIla wabongo tuna akili hatuwezi kuishi kwenye nyumba umeambiwa kuna mtu aliua familia yake yote kisha na yeye kujiua, au nyumba ipo peke yake kwenye misitu ππ
kuna shule njia yake lazima upite makuburini hivyo usingekuwa unaenda shule ππππ
We ungethubutu..??
Njia tu inayopita makaburini usiku hunipitishi..!!π
kwanini nikitaka kodownload inaniambia ni register kuna umuhim au ni lazima kujisali kabla ya kudownload naomba nimalize na shukrani kakaMoja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?
Jichagulie size na quality hapa
1. 720p kila episode moja ina MB400
Kwa file zima bofya hapa lina jumla ya GB3
2. 1080p kila episode hapa ina 1GB
Kwa file zima bofya hapa lina GB 7
3. 1080 kila episode hapa ina
5GB high quality na file zima lina gB30
NB NIMEKUTAFUNIA KILA KITU KWA SABABU UNAULIZIA SERIES MOJA TAMU NAMI NILIIPENDA
HAPO KUNA LINKS MBILIMBILI. YA KWANZA NI EPISODE MOJA MOJA NA YA PILI FILE ZIMA
Leta screenshotkwanini nikitaka kodownload inaniambia ni register kuna umuhim au ni lazima kujisali kabla ya kudownload naomba nimalize na shukrani kaka
sawaLeta screenshot
Chap kabla sijatoka onlinesawa