Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,420
Richie ameshasema atamkata Maziwa Maeve yule bibi dawa yake ipo jikoni Richie atasema nae tuuMeave miyeyusho sana yule bibi alimpiga biti yule binti wa Harry aachane na Eddie akakuta binti naye kichwa ngumu. Kuna muda pia alimpiga biti Conrad akamuambia atamkata dudu.
Episode ya ngapi saivi 😁😁Richie ameshasema atamkata Maziwa Maeve yule bibi dawa yake ipo jikoni Richie atasema nae tuu
Ni thrillerKabla ya kwenda kuipakua Inahusu nini hyo Behind her eyes? 🤔
Ep9Episode ya ngapi saivi 😁😁
EP ya 10 ajichunge mno na Kuna yule mwamba anakipiga kiispanyola sio powa utaskia anakwambia translate mwenyewe 😀😀😀😃Richie ameshasema atamkata Maziwa Maeve yule bibi dawa yake ipo jikoni Richie atasema nae tuu
Uanze na bianca kwanza sijui ni mwamerka au mbritishi 😁😁Yule dada black wa kwenye mobland nikienda London lazima nimtafute 😎😎
Yule ni britishi afu mtoto ana rangi ya chocolate yuleUanze na bianca kwanza sijui ni mwamerka au mbritishi 😁😁
Mi ile minyama ndo inanipeleka puta.Yule ni britishi afu mtoto ana rangi ya chocolate yule
Kaka hadi Mimi aiseeMi ile minyama ndo inanipeleka puta.
Yupi huyo ?Yule dada black wa kwenye mobland nikienda London lazima nimtafute 😎😎
Yule anaetembeaga na harry kwenye gari nahisi ni bodigadi piaYupi huyo ?
Au yule Richie alie mshoot?
Anaitwa "Zosia" daah namkubali na ananivutia pia yule manzi [emoji39] yuko simple and cool afu ndiyo mtaalamu wao wa tech pia mule...Yule anaetembeaga na harry kwenye gari nahisi ni bodigadi pia
Huyu manzi..anatumia jina la Zosia kwenye hiyo MobLand..Yupi huyo ?
Au yule Richie alie mshoot?
Bianca kafungasha [emoji23][emoji23] ni "Bantu" product kabisa ile ORIGINAL..Uanze na bianca kwanza sijui ni mwamerka au mbritishi [emoji16][emoji16]
Ahh kumbe ni huyu Msela 😃Huyu manzi..anatumia jina la Zosia kwenye hiyo MobLand..
View attachment 3347558View attachment 3347559
Yeah huyo huyo Tomboy [emoji1]Ahh kumbe ni huyu Msela [emoji2]
Moja ya series inakuacha na kitu cha kutafakari. Yani kama ingekukuta wewe ungefanya nini?samahani wakuu nilikua natafuta site ya kudownload hii series
Defending jacob
nimekosa site ya kodwnload nimekuja kwenu kuomba kwa anaefahamu site naweza pata hii series nikadownload namaliza nashukrani.