Series (Special thread)

Weka link ya 7 na 8. Vyanzo vyangu bado vimekwama kwenye 6

Hiyo hapo kaka
 
Imagine ndiyo niko napambana nayo sahii, me naye niko nyuma nyuma kama mpasuo wa koti..!!
Haikutishi? wale jamaa wanaopiga harakati zao usiku wa manane ukiwafungulia mlango umeisha πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Kwenye fringe season 4 walioneshaga jinsi watu wanavyo potea na kurudi eneo lile lile sio powa mwanangu
 
bado nipo mwanzo mwanzo sijaanza kuruka ruka kama popcorn...
Huwa nafumba macho nikiona maji yanazidi unga.. πŸ™Œ
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒWale jamaa walinifanya niache kwenda kazini saa 10 za usiku maana huku kigamboni Kila kona misitu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ unaweza ukakuta mti njiani baadae ukaingia kile Kijiji ukamuona Boyd anapiga kengele aisee
 
Au upo zako kwenye gari unaona njiani gogo la mti barabarani πŸ˜†πŸ˜†
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…